Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,976
shemela acha na me nikupe hongera hata kama sielewiUlikuwa mfano tu
shemela acha na me nikupe hongera hata kama sielewiUlikuwa mfano tu
kwahiyo nikakutupie Dada ukishaanza kunangwa unakuja kusema sio wewe ni binamu yakoUmeonaee
Au useme ni mtoto wa kakako
Kwan wewe na shunie si nduguMbona mwanao kafanana na mie
mfyuuuuuMbona mwanao kafanana na mie
hajafanana na D banaKwan wewe na shunie si ndugu
Kamfanana mama kwa mbali
Nani wa kuninanga sasaaa.... Sana watanijazia pm tuu.....kwahiyo nikakutupie Dada ukishaanza kunangwa unakuja kusema sio wewe ni binamu yako
Wala hajafanana na ShunieKwan wewe na shunie si ndugu
Kamfanana mama kwa mbali
Mwenyewemfyuuuuu
Haaaaahaaaa eti majina yoteNani wa kuninanga sasaaa.... Sana watanijazia pm tuu.....
Sema kuna weengi mnoo wapo humu wananijua bhana..... Utashangaa wanataja majina yooote
hahhah acha nikakutupie Dada badae tukutane kwenye mapicha naweka ile ya dress ya blue au niweke ile ya lemba au ngoja nikachague niweke ninazozipendaNani wa kuninanga sasaaa.... Sana watanijazia pm tuu.....
Sema kuna weengi mnoo wapo humu wananijua bhana..... Utashangaa wanataja majina yooote
ila kafanana na nani etiiWala hajafanana na Shunie
nijione wapi sasaMwenyewe
Muone kwanza
Kweli vile....Haaaaahaaaa eti majina yote
Unitagihahhah acha nikakutupie Dada badae tukutane kwenye mapicha naweka ile ya dress ya blue au niweke ile ya lemba au ngoja nikachague niweke ninazozipenda
Hivi Shuniehahhah acha nikakutupie Dada badae tukutane kwenye mapicha naweka ile ya dress ya blue au niweke ile ya lemba au ngoja nikachague niweke ninazozipenda
Na mie na Leeila kafanana na nani etii
Labda tangu awe na Lee kimezidiHivi Shunie
Ni lini umekuwa na kiburi hivyo