Makapuku Forum

LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.
Hbd Mondray
 
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND

1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino

2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure
pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini
. Halafu anakazia na castle light au redbul

RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI

1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! .......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna huo upuuuzi "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"
 
Lee empire hatari sana
Halafu utasikia wakilalama hawana nguvu za kiume
wao hufikiri wanaongeza afya kumbe wanajipunguzia siku za kuishi

Wanaume wa dar badilikeni
 
Aisee
 
Baba D wangu shikamoo jaman
hapa ndio tutawajua wanaume wa dar na wa mikoani hivi Baba D wangu we ni wapi vileeee ebu nikumbushe
 
LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.
happy birthday kwako uishi miaka mirefu
 
Baba D me ninaishia hapa siendelei tena kusoma
nina ombi nilikua nataka niendelee kusoma mpaka nikutane na story lakini nimeshindwa mimi naomba nikopie mume wangu mpenzi niisome naogopa nisije nikaendelea nikakutana na mazito zaidi ya haya
mapigo ya moyo yameshaanza kubadilika nisije nikakufwa ghafla ndio mana ulirudi nyumbani hauna hela wala wallet kumbe uliziacha huko na na kina kidawa na cheusi kwenye nyimbo za vvu ila mimi navumilia mengi jamaan



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…