Makapuku Forum

Shululu usimsaidie bagheshi kufukua makaburi.... Makaburi mengine hayafukuliki.
Ni aibu kwa mwanaume kumtongoza mke wa mtu mpaka anakushinda unabwaga manyanga na kuanza kumuita dada; na mumewe eti ndiyo anageuka na kuwa swahiba wako mkuu. Mtongozaji, mtongozwaji na mtongozewa wote majiganyanza katika hii ishu - something is not right.
 
Mkuu nakupa vilivyoooo.....

Ngoja nimalize tizi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…