Second time kuhusu nini labda?Mkuu
This is the second time..!
Mimi najaribu kuwa msaarabu kwa kuwa napenda diplomasia..
Sasa na wewe kuwa msataarabu..!
Hapa jf sie hatuigizi! We have life out of jf..so take this serious.
Otherwise tutaonana wabaya humu.
Achana na sakayo.
Zafanana magari ya Tanga enzi hizosababu nyama ni ile ile
Asikuumize kichwa boss huyo bado ni mtoto anakua achana naeMkuu
This is the second time..!
Mimi najaribu kuwa msaarabu kwa kuwa napenda diplomasia..
Sasa na wewe kuwa msataarabu..!
Hapa jf sie hatuigizi! We have life out of jf..so take this serious.
Otherwise tutaonana wabaya humu.
Achana na sakayo.
Zafanana magari ya Tanga enzi hizo
Lakini minung'uniko tofauti
Itabidi shimba umpeleke Lushoto akachague vyeupenajuaga wasukuma vyao ni vyeupe tu
Nambie bosiBossy
Da kweli banaaUkiwachunguza vizuri utagundua Marastafarrah wengi hawana makuu na mtu
Nimeshakaa ghetto moja kwa miaka 2 na msela mvuto bhangi balaa tukiwa Sekondari lakini ni mtu poa kabisa hana ugomvi na mtu na hadi leo urafiki wetu unaendelea
Bangi zao waachie wao angalia tu utu/matendo yao
....
Tulia basi wee mwanamke.Asikuumize kichwa boss huyo bado ni mtoto anakua achana nae
Uko poa ??Nambie bosi
Mzuri mashallah4/Hinda Deby Into
Ndiye First Lady wa huko Chad
Ana umri wa miaka 37
.....
apande tu shambalai akwende mwenyewe hawezi kupotea akajichagulie kama anavyofanya mswatiItabidi shimba umpeleke Lushoto akachague vyeupe
Hawez fanya hivo ....
Alafu ulikula maharage ya wapi ukaquote simulizi nzimaa
Shwaiiiiniiii
Safi tu vipi wikendiiiiiiUko poa ??
Kuna tips nilizipata kupitia kwa SHIMBA YA BUYENZE bila ya yeye kujua nikazifanyia research nikapata jibu kuwa I was wrongUzi wa shemela shunie umefanya kazi yake
Bhinamu shikamoo
PoleMkuu
This is the second time..!
Mimi najaribu kuwa msaarabu kwa kuwa napenda diplomasia..
Sasa na wewe kuwa msataarabu..!
Hapa jf sie hatuigizi! We have life out of jf..so take this serious.
Otherwise tutaonana wabaya humu.
Achana na sakayo.
Weeee Bobdon weeeeeeee
Nakuonaaa nakuonaaa na nshakujuaaaaa
Nawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.
Natengeneza mazingira nichukue mrembo sakayo nyie mnaleta mishe ambazo siyo.
Subiri na vyie wanaume watakuja watawatongoza acheni kumuonea wivu mwenzenu.
Sema ndiyo tabia zenu nyie wanawake...Lee empire na Nyagei!
Atawapatia kwenye shambalai kabla ya lushotoapande tu shambalai akwende mwenyewe hawezi kupotea akajichagulie kama anavyofanya mswati