Makapuku Forum

Karibu mkuu
 
Thanks kwa kujali sakayo.

Kiukweli nimependa sana unavyojali mrembo.

Kuhusu kuwa mke wa mtu sipingi hilo japo liko nje ya mada kidogo ila siyo mbaya kukumbushana.

Kadhalika, kuhusu suala la kuheshiminiana hakika nakuheshimu sana maana nisipompa heshima mrembo kama wewe nitampa nani?

Pia mtoto mzuri kama wewe ambae kila mwanaume humu ndani anatamani kuwa na wewe huwezi ukakosa mwanaume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…