Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Adithia basi si unajua ninavyopenda storyThitaaaakiiii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Adithia basi si unajua ninavyopenda storyThitaaaakiiii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji120] barikiwa na wewe mama mchuchu roho yake mukongo[emoji524] ZABURI 9
1.Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote,Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
2.Nitafurahi na kukushangilia Wewe,Nitaliimba jina lako ,Wewe uliye juu.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE SANA[emoji7] [emoji7]
Hapo Lee anahusika pamoja na binamu yake ObeKuweza niniiii
Maneno yapi tena Baba DWananitafuta manenooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekutime nini tena usiniambie ulitaka kuwatambulisha mke mwingine
Shemela vipii mbona hivyo[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Safi shemela wangu za weweShemela shunie, za mchana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nacheka ulivyonyweaaa[emoji38]Hiloooo linamwogopaaa
Mbona umesema jioni kama unajua nilikukatazaSi ushanikatazaaa
Usinifanyie hivyo Baba DKaongeaa kinyongee mpaka nimeumiaa
AiseeKunguru kwenu kwangu ni Mume bora na Baba bora kwa D
Poa shemela wangu mke mwee anaendeleajeNiambie shemela wangu wa ukweli
YES It has to go,very powerful[emoji123] [emoji123]Ni uamuzi wake binafsi mdau
Mru akiwepo huku huwa nafurahi pamoja nae na akisepa ni uamuzi wake hata nikikutana nae mitaa mingine simuulizi
[emoji117]Tumia kila muda unaopata kuwa na marafiki kufurahi...ni km maisha ya kielimu ambapo msingi ulikuwa na marafiki mkaachana,sekondari hivyohivyo na chuo pia...... ni wachache ambao mlipomaliza masomo mliendelea kuwa marafiki
Hivyo furahi na hawa waliopo humu leo.......ni wachache ambao walikuwepo mwanzoni na bado wapo hawa ndo watu wa shida na raha matokeo yake tumekuwa marafiki hadi nje ya JF
La msingi ni kuishi vizuri na kila MTU na km hujawahi kumfanyia mtu jambo baya basi hata akiachana na wewe bado utaendelea kuwa na furaha na amani moyoni
Life goes on !!!
.......
Basi ikiwekwa naomba mniiteMzeewakungoa ndio anaijua
Ubarikiwe dingimtoto[emoji120]Shukrani[emoji122] [emoji120] kwa neno!!!
Naona umesikp, ungepanda mlima kidogo tu ungefurahi mwenyeweSafi shemela wangu za wewe
Kwani nani kasema umenitongoza?!Kwan nshakutongozaa ??
Japo jana tumeshindaa wotee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Hahaha atanyongwa tu huyo wa mwisho acha aanzwe huyo ninaempelekea sakayo
Yupo poa, leo alikuwepo sasa hivi amepumzikaPoa shemela wangu mke mwee anaendeleaje