Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Atakuwa shedy...Thijuiii imejiposti hiyoo
Atakuwa shedy...Thijuiii imejiposti hiyoo
Pole, harafu anaonekana anapika ndio maanaKaongeaa kinyongee mpaka nimeumiaa
Hahahaha hapo nimependa pedeshee lee tu hizo peremende waachie tuHii hali sio shwari kabisa...kwa jinsi hali ilivyo ngumu, hata ukimtunza PIPI mwanamziki wa bendi, utasikia anakutaja pedeshee lee, mutu ya PEREMENDE![]()
Ndio utuliee lioneKaongeaa kinyongee mpaka nimeumiaa
Ni nini hiko cha kukumbushana jioniJioni tunakukumbusha
mimi tena nimekufanyaje Baba DMama D mbona unanifanyia hivooo??
FyuuumbaaafyuuuAtakuwa shedy...
Hahahaha
Nimekutime nini tena usiniambie ulitaka kuwatambulisha mke mwingineNiachee kipenziii
Yaan dada yako anajua kunitime hatariii ....
Hiloooo linamwogopaaa
Pedesheee lee ...alafu inapika ile biti ya associe ya fally ipupa ...pedeshee lee na mrembo wake shunie .....bhinamu uku anagonga gitaa siku hiyooHahahaha hapo nimependa pedeshee lee tu hizo peremende waachie tu
Ni uamuzi wake binafsi mdauKikofia Kawa adimu sana huku, japo mitaa mingine yupo
Tumia kila muda unaopata kuwa na marafiki kufurahi...ni km maisha ya kielimu ambapo msingi ulikuwa na marafiki mkaachana,sekondari hivyohivyo na chuo pia...... ni wachache ambao mlipomaliza masomo mliendelea kuwa marafiki
Kwan nshakutongozaa ??Ndio utuliee lione
ShukraniZABURI 9
1.Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote,Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
2.Nitafurahi na kukushangilia Wewe,Nitaliimba jina lako ,Wewe uliye juu.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
kwa neno!!!
Hahaha atanyongwa tu huyo wa mwisho acha aanzwe huyo ninaempelekea sakayoAlitaka kunyongwa janaa.....![]()
![]()
![]()
Kuweza niniiiiUkiona hivyo anaweza
Kwahiyo Baba angu ukinikosa uzezeta wako ndio hivi ninavyokukutaNimefanyajee swty manka mkalia ini nikikkosaa nakua zezetaa
Endeleeni tu kuchekeanaShunie wangu ashakuja usinichekee![]()
![]()
![]()
Kunguru kwenu kwangu ni Mume bora na Baba bora kwa DKunguru hafugiki
Amen Asante mkuu ShululuAmen, Asante mama mchungaji kwa neno