Makapuku Forum

Vizuri sana katibu
 
1984 - Wesley Sneijder anazaliwa.

Kiungo wa Kiholanzi ambaye amewahi kukipiga Inter Milan, Ajax na Real Madrid.

Ametwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.

Mmoja kati ya viungo andunje mafundi
Licha ya kushinda kila kitu kwenye ngazi ya klabu mwaka huo na kufika fainali World Cup pale Sauzi na kupigwa na Hispania extra time kwa goli pekee la Iniesta lakini akanyimwa Ballon D'or na kupewa "watu wale"
Samtaimu inaboa
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…