Makapuku Forum

1978 - Miroslav Klose anazaliwa.

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani.

Ndio mfungaji wa kihistoria katika mashindano ya Kombe La Dunia.
Jamaa huyu ana historia yake Ujeruman upande wa kimichezo ameisaidia sana timu ya taifa kwani kama sikosei katika mechi 137 aliifungia mabao 71


Aliisaidia Ujeruman mwaka 2002 kwenye kombe la dunia make nakumbuka lile goli lake dhidi ya Albania lilikuwa bonge la mnazii ,, ukiachilia mbali hat trick yake ya kwanza dhidi ya israel na ikumbukwe hapa Germany aliuua 7-1 ....

Asante mkuu
 
Upo vizuri mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…