[emoji113] [emoji113]Nzuri shem
Habari yako
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] nadhani hakujuaAmkubalie Mara ngapi?
Wapo together as one
Hello[emoji113] [emoji113]
Tuko pamoja [emoji109]Asante kwa ratiba
Mama mchuchu wa WerrasonGoodmorning sir ,you good,happy,ready to work?Blessings to you[emoji120] have a wonderful day..friday[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji7]
AsanteBila shaka kabisa
Wapo siku nyingi pamoja hawa jamii hii inatambua hili jambo.Sakayo! Mkubali Transcend yaishe. Hata kama uko engaged mafiga matatu muhimu. Kwetu tunakubali kidumu.
Usikatae Bahati. MTU Mzima anakosa usingizi. Kumnyima MTU dhambi.
Tunashukuru KomrediWakuu tuwe na siku njema. ..
but remember kapuku...
AiseeHilo neno ni kwa hisani ya Mkulu
Jambo Sir..Captain wa jeshi mkuu. Nimepata kamisheni Leo. Umesahau Mkuu?
[emoji123] [emoji123]Nakuletea maji
Tuko salamaHamjambo?
Nawaona nawaonaMy sweet miss you
Amen [emoji120] [emoji120]Tupo pamoja mwanangu Nyagei,asante kwa ratiba ubarikiwe[emoji120]
NotedNUKUU YA LEO
Great things in business are never done by one person. They're done by a team of people.
Vitu vikubwa kwenye biashara havifanywi na mtu mmoja, huwa vinafanywa na timu ya watu.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasansi, na mgunduzi computer za Mac Bwana Steve Jobs
Steve Jobs alizaliwa tar. 24/2/1955 mjini california nchini marekani na kufariki october 5 2011 akiwa na miaka 56.
Steve Jobs alizaliwa na wazazi wenye asili ya Syria na kuasiliwa na wazazi wa kimarekani waliomlea wakati wa utoto wake.
Steve Jobs atakumbukwa kuwa ni moja School drop-out kama kina Marck Zukerberg wa Facebook na baadhi ya matajiri wengine walioacha shule na kufanya kile walichokipenda na kuamini kuwa ndio sehemu ya mafanikio yao.
Steve Jobs alifariki kwa cancer ya Ini. Ila pia ukumbukwe Jobs alikuwa anatumia sana marijuana na LSD kama sehemu ya starehe..
Kuna mengi ya kuandika na kijifunza kutoka kwa Steve Jobs lakini kwa leo niishie hapa.
Morning wakuu.
AsanteeMpaka wakati ujao wa matokeo
Leo ni weekend tuwe makini na matumizi yetu
Akiweka nitag..Weka picha