Makapuku Forum

Duh mbona naona ni ubabaishaji huo ulipotoa taarifa ya upotevu wa Mali zako ulipaswa upewe RB hiyo ni haki yako kisheria. Baadae sisitiza upewe hiyo RB maana unaweza kumpata mwizi wako lakini usiwe na haki ya kumkamata
Mm nikisema mnasema nadharau jeshi haya tu..
Hivi kesho ndio nataka niifatilie na niaiku ya nne sasa tukio la toka jumatatu
 
Hahaaaa daah yaan unasema tu sababu hujawaona kwakweli
Wee fikiria tuliwachukua waje waone tukio lilivyotendeka lkn walikataa na nimwendo wa Dk 5 tu..
Wakati unawachukua wananchi wengine wahudumiwe na naniii... Angalia mazingira yanayomfanya akatae, wewe huna RB then Unataka polisi akakague eneo la tukio huku kuna lundo la wengine wanasubiri huduma. Ndo maana nikasema kila kitu kina taratibu zake......
 
Shalom mama mtumishi
 
Amen

Ahsante sana mama mchungaji kwa neno la uzima

Nililipeza sana neno lako
 
Duh mbona naona ni ubabaishaji huo ulipotoa taarifa ya upotevu wa Mali zako ulipaswa upewe RB hiyo ni haki yako kisheria. Baadae sisitiza upewe hiyo RB maana unaweza kumpata mwizi wako lakini usiwe na haki ya kumkamata
Ndo la muhimu hilo sasa, ukishafungua kesi ndo taratibu nyingine zinafuata
 
Hahaaa ngoja nikae kimya aisee
Yaan ungekua ww ukaona.
Wanakwambia hii jioni twawahi kufutari atiiii maana tukio niligundua jioni ila lilitokea mchana
 
Safi sana wimbo mzuri,nasmini Obe anaupitia,asante mkuu Nyagei
 
Hahaaa ngoja nikae kimya aisee
Yaan ungekua ww ukaona.
Wanakwambia hii jioni twawahi kufutari atiiii maana tukio niligundua jioni ila lilitokea mchana
Haiwezekani
Tatizo ni Kwamba hatuna trust na hawa jamaa, lakini wanafanya kazi kuliko tunavyofikiria sisi
 
I see!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…