Makapuku Forum

#kutoka_bungeni

Kwa mwaka 2016/2017 Serikali ilipanga kutumia Shilingi Bilioni 11,820.5 kwa ajili ya bajeti ya mandeleo ambapo kati ya hizo Bilioni 8,702.6 zilikuwa ni fedha za ndani na Bilioni 3117.8 ni fedha za nje.

Hadi April 2017 fedha zilizokuwa zimetolewa ni Shilingi Bilioni 4516.7 sawa na Asilimia "38" ya Bajeti ambapo Bilioni 3,608.9 ni fedha za ndani na Bilioni 907.8 ni fedha za nje
 
#kutoka_bungeni

[HASHTAG]#BajetiKuu[/HASHTAG] Matumizi ya Serikali Julai 2016-April 2017

Kugharamia shuguli za vyombo vya ulinzi na usalama Shilingi Bilioni 591.3

Elimu Msingi bila malipo Shilingi Bilioni 203.0

Uendeshwaji wa Mitihani Kitaifa Shiling Bilioni 69.9

Mfuko wa Bunge Shilingi Bilioni 69.1

Kugharamia Balozi zetu nje ya nchi Shiling Bilioni 68.7

Posho ya madaktari wananfunzi Shiling Bilioni 15.3

Ruzuku ya Pembejeo shilingi Bilioni 15.0

Ruzuku ya Vyama vya Siasa Shiling Bilioni14.2

Ununuzi wa chakula cha hifadhi ya Taifa Shiling Bilioni 13.0
 
#kutoka_bungeni

“Serikali kutoruhusu usafirishaji wa madini kutoka mgodini na kupeleka moja kwa moja nje ya nchi. Aidha serikali itaanzisha maeneo maalum (clearing houses) katika viwanja vya kimataifa, migodini na kadhalika ambapo madini hayo yatathibitishwa na kupewa kibali cha kusafirisha madini hayo ambapo kitatozwa kodi ya asilimia moja (Clearing fee) ya thamani ya madini hayo"
 
Hilo wazo ni zuri, ila hicho kipengele kipewe muda maalumu kila siku. Ili watu wote washiriki kama mada na majadiliano yasiingiliwe na chats zingine. Mjadala ukifungwa ndo chats ziendelee.....

Ni mtazamo wangu lakini
 
vema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…