Makapuku Forum

Natumai ameshatangulia mbele ya haki sasa May he R I P
 
mkuu Bitoz niongeze kwenye orodha hapo juu. naomba makapuku wote tupeane mawazo chanya namna ya kujikwamua kiuchumi. anayeona hafit katika kundi hili asiwe wa kwanza kutukatisha tamaa.
"Umeficha" joining date ya Jf....orodha inawahusu from 2014 tu but kuchat ni free kwa kila MTU
......................
 
Mkuu haujakutana na khadia za ubaguzi wa majukwaa flani ndio maana unadhani humu wote ni sawa, ila kiukweli we are not, there are two blocks ambazo ziko ktk battle ya chini kwa chini, chunguza vizuri utajua.
mkuu, mimi sikubaliani na maoni yenu haya kwa 100%. hakuna ubaguzi kihivyo humu jf ila kuna ubaguzi wa mtu mmoja mmoja kumbagua mwenzake hapa na pale na hilo jambo huwa halikosekani katika jamii yeyote ile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…