Makapuku Forum

1977 - Kanye West anazaliwa.

Ni mwanamuziki wa Hiphop toka Marekani.

Ni mmoja kati ya wanamuziki 10 wa Hip hop wenye mpunga mrefu
Ni mume wa Kim Kardashiana na wamejaaliwa watoto wawili(sijui mapacha) na hawatarajiwi kuongeza kutokana na matatizo ya kiafya/uzazi aliyonayo Kim ambayo ameshauriwa asibebe tena ujauzito
......
 
Kuna kipindi mapenzi yanataka Moyo na firigisi ili yawe sawa.
 
1984 - Javier Mascherano anazaliwa.

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.

west Ham ndo iliyowatangaza
Walisajiliwa siku moja na kuingia EPL kwa ushamba....wakafanya kweli mmoja akasajiliwa Liverpool mwingine Man Utd
Tevez akiwa West Ham anakumbukwa kwa kufunga goli pekee dhidi ya Man Utd pale Old Trafford na kuwaokoa kushuka daraja
Mwisho wa siku SAF akamnyakua kimagumashi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…