Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sifa za Mwanamme bora..
1. Hanywi Pombe
2. Havuti Sigara
3. Hachepuki
4. Mkweli
5. Mcha Mungu
6. Ana Hela
7. Handsome
8. Mpole
9. Anajua Mapenzi
10. HAYUPO DUNIANI.
Sisi wa Duniani tuvumiliane tuu.. Maana Vita ya Kumtafuta Mume Bora haijawahi kumuacha Mtu Salama
 
1970 - Cafu anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.

Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.

Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.

Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
c7962da024102d2bd21b2a9106627f74.jpg
67e9f69ff026b44034a721ff08d50de6.jpg
12aec7698a6e84ae4fe0a3145af18d1a.jpg

Mmoja kati ya wachezaji wasio na makuu
Alikuwepo kwenye kikosi kilichopigwa na Liverpool kwa mafuta fainali ya UCL
Ilikuwa ni baada ya Milan kuongoza 3--0 hadi mapumziko kisha majogoo kuchomoa goli zote
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom