Makapuku Forum

Makapuku Forum

1970 - Cafu anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.

Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.

Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.

Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
hbd cafu
 
1975 - Sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia la kwanza la Kriketi zaanza huko England
2327409ae6ce77ad52aed5670803a7eb.jpg
782f873de40c9ba5641fd65f4af667cf.jpg

Mwisho wa siku West Indies wakabeba ndoo na kuwa mabingwa wa kwanza wa dunia
Nadhani Waingereza walishindwa kufanya figisu zao za kwenye soka maana pindi wakiandaa mashindano hupenyeza sana fitina
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom