Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Anakushangaavipi tena shemela wangu
Uko poa lakini shemela wangushemela moyo wangu sio wa nchi hii lakini vingine vimenishinda
Hilo ni jukumu langu .... Yaani sihitaji kukumbushwa....sema jengine baby.Unitumie hela ya salon na ya kula!
Mshenga nataka kuongeza mkeeWanajisumbua kwa my love
![]()
Unamuuza Mr wakovipi tena shemela wangu
Nko poa umeamkajemke mwee za ww
Nawajua team against me.....Mama Mchuchu hatujakutana barabarani(in a certain politician's voice )me nimefanyaje tena
Bonge la player kutoka nchi ya wenye mpira wao ...Hbd Cafu1970 - Cafu anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.
Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.
Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.
Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
Sema sasa Rafiki
woiiiiiiiWanajisumbua kwa my love
![]()
mzee wa ma flowers na kweli wanajisumbua my love wako alikua anajibu asante tu au emoj ya ngumi ila mukongo shikamoo hivi umenpa nini mama mchuchu lakini
mimi jaman kweliKwenye kuteka
HBD Cafu, sijawahi kumshuhudia akipewa kadi nyekundu, nafikiri hajawahi kupewa aisee1970 - Cafu anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.
Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.
Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.
Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
kuna mda kinachokaChuma cha mjeruman
Alafu mkongo ujue nampima mama mchuchu ...Nawajua team against me.....Mama Mchuchu hatujakutana barabarani(in a certain politician's voice )
mimi apaUnamuonaaa