Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Duuuuh alafu alikuwa ashaenda age7Harold Holt
.![]()
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 17 wa Australia...alizaliwa Agosti mwaka 1908
Alitoweka mnamo Disemba 17 1967 wakati akiogelea surf Beach pembezoni ya Portsea Victoria
Tangu hapo hakupatikana
.....