Makapuku Forum

hivi binamuuu we una mpango gani wa mimi na mjomba ako hivi ninavyokulalamikia kwako burudani kabisa
 
3/Roald amandsen

Alizaliwa July 1872
Alikuwa ni mpwlelezi wa Kinorway
Alipotea June 1928 pamoja na wenzake watano wakati wakiitafuta timu/kundi la wapelelezi lililokuwa likiongoza na Umberto Nobile huko Barents Sea
........


 
2/Ambrose Bierce

Alizaliwa mnamo June 1842..Alikuwa ni n mwanahabari na mwandishi wa Kimarekani
Pia alikuwa ni mpiganaji/soldier wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani
Alitoweka Desemba 26 1913 wakati akisafiri na kikundi cha waasi kuelekea Mexico kwenye mapinduzi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…