Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inasemekana ni zaidi ya mashosti ‍♂️‍♂️‍♂️
3b240b748a52f2a15c9858cb161bde59.jpg
 
Madenge, wewe umeanza kupata notifications? Mimi bado aisee. Nime-uninstall app na ku-install upya tatizo liko pale pale. Inanikera kwa sababu bila notifications kidogo ni vigumu kufuatilia mada. Ajabu hata sehemu ya complaints siioni kwenye app yao. Msaada please!
 
...and counting...Hata hizi e-cigarettes nazo zimeanza kupigiwa makelele kuwa ni hatari zaidi japo mwanzo zilionwa kama safi na salama....

You create an addictive substance. People get sick. Big pharmaceutical companies make a lot of money. Lot of people die (you reduce overpopulation). Everyone is hapyyyyy.....

Na bado watu wanaendelea kuvuta tu!
Ndio maisha
Wao wanaita "kula maisha"
.....
 
Madenge, wewe umeanza kupata notifications? Mimi bado aisee. Nime-uninstall app na ku-install upya tatizo liko pale pale. Inanikera kwa sababu bila notifications kidogo ni vigumu kufuatilia mada. Ajabu hata sehemu ya complaints siioni kwenye app yao. Msaada please!
Tangu jana jioni kwangu zinaingia fresh tu mara nyingine kwa kusuasua
Ila mimi nimepush notification
Nimeacha kwenye PM na tagged/mentioned me pekee
Maana Quote & Like simple tu kuziona kwenye uzi husika
Hivyo ni usumbufu
.
.
Kaangalie vizuri setting km hakuna tatizo labda instail upya
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom