BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Niambie ObeHujui tu ninavyojisikia ukinisalimia kirejareja (retail-by mntioning my name) na sio kiujumla jumla (wholesale), yaani unanifanya najisikia vizuri kabisa na moyo badala ya kupiga ndu ndu ndu ndu unapiga kwa utaratibu unakubaliki na madakitari wa moyo nti nti nti.
Nimeamshwa salama sana, nashukuru kwa kuuliza. Nikwambie kitu kizuri cha kibinafsi?
Hujambo lakini?
sawa utakuwa mtu wangu wa kunisaidia kunitafutia huko kitaa wanawake wakuoa au sio?
lakini ni bora hii kuoa 4 mke unajua mume wako yupo wapi saa hzii kuliko kua pekeyako halafu ukawa una wasiwasi mume wako akaparamia wanawake kila aina .na mwisho wa siku akakuletea magonjwa
Bhinamu kaja na kiroba ofisin na bossy hayupo usimwaminii
hapana aisee me siwezi hizo mambo tafuta tu utapata halaf kingine mwanaume hafugiki ni yeye na akili yake kama ataparamia sawa bora aparamie tu huko huoni wewe dini yako itakua inakuruhusu owa tu hao wa 4 wakosawa utakuwa mtu wangu wa kunisaidia kunitafutia huko kitaa wanawake wakuoa au sio?
lakini ni bora hii kuoa 4 mke unajua mume wako yupo wapi saa hzii kuliko kua pekeyako halafu ukawa una wasiwasi mume wako akaparamia wanawake kila aina .na mwisho wa siku akakuletea magonjwa
Nimefanyajee bwanaaaLee empire
Mapenzi bwanaa...
Yanazaliwaa hayatengenezwiiii...
Huoni ya obe na mama mchuchu mwaka wote utafikir anachukua phd kwake
UnachekaaaHahahhaha Obe
hakuna kuongeza mke dini yako haikuruhusuEwaaaaaah
na mpenzi wa kulike kama kawaida yakoMimi kama kawaida nilikuwa mpenzi mtazamaji
HahahahaMaaaamamaaaaaaaaaaaa, dadeki nilijua tu lazima kuna mkono wa mtu wangu wa karibu. haiwezekani saa otomatiki isimame bila sababu ya msingi, saa inategmea solar na mapigo ya moyo isimame vipi na hali bado ninaishi.
Sasa roho yangu itatulia, na inabidi nikuletee uirekebishe isome majira ya leo. halafu Cheusi anakutafuta sana maana juzi aliibua ugomvi na kidawa mkorogo kisa eti sijui wewe (sikuwa na sababu ya kutowaamini)
Mama maflower katoroshwa mimi roho inaniuma tu. Na hata kujua kuwa katoroshwa nimejua leo wakati wengine mnataarifa tangu juzi
me ata sijui kama nakua hivyoLee empire
hongera baba anguNa mmi ntasema yako apa yote walaaaiiii...
Kuwa na moyo wa huruma ushaambiwaa na aunt
Niriporud toka porin jion nkauta post ..kuna kapuku nasikia ananipendaa ..nkazigongaa likes weeeee....uku mukongo akifanya yake ..nacheka sana yani wewe
Niambie Obe
post ya nani tenaNiriporud toka porin jion nkauta post ..kuna kapuku nasikia ananipendaa ..nkazigongaa likes weeeee....uku mukongo akifanya yake ..
Aki yake awe na mama mchuchu
Bhinamu the nambaaa yuaa kolingiiii is on anazaaaa kalooooo...try to somebody elseee
Lako litazungushaa mpaka JupiterPenzi Huzungusha Dunia
πππππππππ
unacheka nini sasa
Marahaba mwanangu za uzima?umeamshwaje Ubarikiwemama mchuchu shikamoo mama msalimie sana baba mchuchu