HaahaaUtaungana nao
Hawa ndio uduvi asantee Bitoz1/Mantis Shrimp
Kwa kiswahili anaitwa uduvi
Ni uduvi wa kundi la Stomatopodia
Wana kuacha kali zenye uwezo wa kuvunja glasi au kukigawanja kidole cha binadamu sehemu mbili
Macho yao ni ya kuvutia
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Rukutane kesho
Mwisho
.......
Siwawezagi hawa bora nile pweza6/Colossal Squid
Hawa ni ngisi wakubwa wakubwa...ni mmoja kati ya wanyama wakubwa duniani kando ya Blue Wahale
Ndiye mnyama mwenye macho makubwa zaidi duniani
Macho yake yana ukubwa/kipenyo cha karibu Sm 30
Lenzi za macho yake zina ukubwa sawa na chungwa
.......
Thanks bitoz
Asante mchunga mbuzii
Pamoja sana wadau wangu wa nguvu a.k.a kapuku orijinoPamoja mkuu
Saa yangu imepoteza majira, na nimejikuta najiuliza hivi ni lazima magazeti yasomwe asubuhi tu (sijauliza swali) vyote iwavyo, asante shululu kwa magazeti, lee empire kwa UF na upuuzi, Mussolin5 na Bitoz kwa historia.
Nisiwasahau member wote waliochangia tangu kumekucha bila kuwasahau wapenzi wasomaji wa Makapuku forum.
Ngoja nifuatilie kujua sasa ni saa ngapi ili nirudi na burudani.
Mkuu asante kwa kibao maridadi kabisaa.Muziki Huchangamsha
Ni Jumatatu kama jtatu nyingine sema tu tarehe ndo zimebadilika. Hivi ndivyo tunavyoelekea kuikata nusu ya huu mwaka. Naamini wote tuko poa kabisa bila kujali huu upoa u-hali (state) gani.
Wakati napitia post za nyuma humu, nikavutiwa na post moja ambayo mchangiaji anauliza leo kumepoa humu, well, leo ni jumatatu na jumatau ikianza kwa kuchangamka jua weekend yako hukuitumia ipasavyo, its blue Monday and not blue Mondray for GS.
Kutokana na hali hii ya leo basi nikaona sio mbaya sana katika kipengele cha muziki leo basi tuburudike na Sebene kidogo, na bila hiyana nakuletea sebene la Twanga Pepeta chini ya 'le jenerali' Banza Stone (RIP) na gitaa la mtaaluma Shakashia. Andrew Shakasjhia ni mkali sana kwenye gitaa la solo na hata gwiji said Mabera wa Msondo alithibitisha hilo (hii siku nyingine tena)
Tonane baadaye kidogo wadau wema wa Makapuku
Karibu
hajambo sana mke mweeNambie mke mweee nmekumic jaman,mme mweee wa Shululu hajambo
mtoto wangu me ni yupi hapoApo ndo utatofautisha mtoto wa Blessed hope na wa shunie
Wa kwanza huyu ....mm kanishindaa
Na huyu ....
Shunie mama angu habari yakomtoto wangu me ni yupi hapo
Poa Luckdube za weweShunie mama angu habari yako
Pamoja sana mdauHawa ndio uduvi asantee Bitoz
Waache pweza wapapatikiwe na wanaume maana wana Imani kwamba wanaongoza ......Siwawezagi hawa bora nile pweza
Ahaha wanaongoza nini ila nawapenda pweza wa sinza mori kituoni ni watamu sana na ile pili piliPamoja sana mdau
Waache pweza wapapatikiwe na wanaume maana wana Imani kwamba wanaongoza ......
.....
binamu saa imesimama
Kadri siku zinavyoenda inanifanya nijifikirie mara mbilimbili, si unajua ni otomatiki! Kwanini inasimama wakati haihitaji betri
Aisee siku mingi sana, Asante obeMuziki Huchangamsha
Ni Jumatatu kama jtatu nyingine sema tu tarehe ndo zimebadilika. Hivi ndivyo tunavyoelekea kuikata nusu ya huu mwaka. Naamini wote tuko poa kabisa bila kujali huu upoa u-hali (state) gani.
Wakati napitia post za nyuma humu, nikavutiwa na post moja ambayo mchangiaji anauliza leo kumepoa humu, well, leo ni jumatatu na jumatau ikianza kwa kuchangamka jua weekend yako hukuitumia ipasavyo, its blue Monday and not blue Mondray for GS.
Kutokana na hali hii ya leo basi nikaona sio mbaya sana katika kipengele cha muziki leo basi tuburudike na Sebene kidogo, na bila hiyana nakuletea sebene la Twanga Pepeta chini ya 'le jenerali' Banza Stone (RIP) na gitaa la mtaaluma Shakashia. Andrew Shakasjhia ni mkali sana kwenye gitaa la solo na hata gwiji said Mabera wa Msondo alithibitisha hilo (hii siku nyingine tena)
Tonane baadaye kidogo wadau wema wa Makapuku
Karibu
Sio kwamba wote wako, ndo Lee akawa anataka wa kikemtoto wangu me ni yupi hapo
Pamoja sana mdau
Waache pweza wapapatikiwe na wanaume maana wana Imani kwamba wanaongoza ......
.....
Nimemuona aiseebinamu nilishasahau habari za saa ujue shemela shululu ukuje uone mambo ya saa yameanza upya
band ya wajanjaAisee siku mingi sana, Asante obe