2006 - Serbia yajitangazia Uhuru wake toka kwa Montenegro.
2004 - Ronald Reagan anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 40 wa Marekani.
2015 - Tariq Aziz anafariki Dunia .
Alikuwa ni waziri katika serikali ya Saddam Hussein.
Sawa bhana
Tuko poaa
Mzee wa mikwara. Alivyokuwa anawapiga mkwara wanajeshi wa Marekani wakati wanavamia Iraq mpaka leo ni case study of how to do propaganda. Baada ya kuanguka kwa Saddam Wamarekani wakaona hata hakuna haja ya kumfunga. RIP Mzee Azziz!
Alikuwa na miaka 79
....
Tuko poaWakuu leo nilienda kuchunga mbuzi maeneo ya mbali
Nafikiri wote mko poa
.....
Niambie my swi
Aliiita Marekani "The Shining City on the hill" na chini ya utawala wake Marekani iliimarika sana. Mpaka leo wahafidhina wa Republican wanaamini kuwa pengine ndiye rais bora kabisa aliyewahi kutawala Marekani.
Alikuwa na umri wa miaka 93
......
Tena kakubwa tukuna kaukweli hapa
Sijawahi kukuona kwenye uzi mwingine zaidi ya huu. Kweli wewe ni kapuku OG.
Waarabu mpaka leo huwa siwaelewi kuhusu kushindwa kwao katika vita hivi...
Ni miongoni mwa vita 10 fupi zaidi duniani
Ilijulikana kama 6 Day War ..Israel ilishinda vita na hivyo kujinyakulia Ukanda wa Gaza na Sinai Peninsula kutoka kwa Missri
Pia ikajinyakulia East Jerusalem kutoka kwa Jordan na Golan Heights kutoka kwa Syria
.....
tupo powa sijui ww pole na uchungajiWakuu leo nilienda kuchunga mbuzi maeneo ya mbali
Nafikiri wote mko poa
.....
msukuma sisi wazima hofu kwakoMbona leo huku kumepoa? Ni Monday blues ama? Natumaini kuwa kila kapuku hajambo...
ila mm haunihusu shemelaTena kakubwa tu
Kwa nin demi ??Sijawahi kukuona kwenye uzi mwingine zaidi ya huu. Kweli wewe ni kapuku OG.
Siku hazifanani mdauMbona leo huku kumepoa? Ni Monday blues ama? Natumaini kuwa kila kapuku hajambo...
Namkumbuka jamaa alikuwa bingwa wa propagandaMzee wa mikwara. Alivyokuwa anawapiga mkwara wanajeshi wa Marekani wakati wanavamia Iraq mpaka leo ni case study of how to do propaganda. Baada ya kuanguka kwa Saddam Wamarekani wakaona hata hakuna haja ya kumfunga. RIP Mzee Azziz!
Tupo mkuu si unajua mwanzo wa wikiii ....Mbona leo huku kumepoa? Ni Monday blues ama? Natumaini kuwa kila kapuku hajambo...