1968 - Robert F. Kennedy anapigwa risasi na Mpalestina Sirhan Sirhan alipokuwa kwenye kampeni za Urais huko jijini Los Angeles. Na kufariki siku inayofuata.
Robert F. Kennedy alikuwa ni mdogo wake Rais wa 35 wa Marekani, John F. Kennedy ambaye naye aliuwawa kwa kupigwa risasi.