Makapuku Forum

Makapuku Forum

2d69d019fd460c9e372423c356b68aa3.jpg
Zamani ndo palikuwa pachafu
Ya kisha mara na tu wa
Now kupo poa tu tunaenda kupunga upepo huko na mademu zetu ila samtaimu hasa kipindi cha mvua kuna harufu mbaya balaa
.....
Yaap hata mimi nilikuja kipindi cha mvua...

Nakumbuka nilienda chuo cha NIT ndio wakanielekeza hapo ...

Daaah! Asante kaka kwa kunikumbusha mbali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom