Makapuku Forum

Makapuku Forum

5395f303a8d0806580746f51774aad1d.jpg

38c71a5a026fc506aed64790fc077cda.jpg

Hivi ndo vyoo vyetu kipindi cha mvua "tunavitoboa" mzigo wote unaelekea huko
Yale mabwawa ni maalum kwaajili ya maji machafu yanayozalishwa na kiwanda cha nguoURAFIKI ndiyo maana yanaonekana mweusi
Sasa Waswahili ndo tunaochafua mambo hapo
.......
Jioni huwa kuna totoz zinapita pita kule pembeni ya bwawa..

Afu uswazi kuna watoto wakaliiiii...sema tuu watu hawajui..

Mabibo pazuri sana mkuu..ila mimi nilipepanda kwa sababu ya soko la mabibo..

Bidhaa nyingi kwa bei pouuuuuwa.

Hasa vyakula.
 
Wengi tu ndio soko letu tunatoka makwetu tunaenda kufungasha
 
Jioni huwa kuna totoz zinapita pita kule pembeni ya bwawa..

Afu uswazi kuna watoto wakaliiiii...sema tuu watu hawajui..

Mabibo pazuri sana mkuu..ila mimi nilipepanda kwa sababu ya soko la mabibo..

Bidhaa nyingi kwa bei pouuuuuwa.

Hasa vyakula.
Hilo soko pia kipindi cha mvua ni janga
Kuhusu watoto wakati wapo wengi tu tena wanapiga mzigo balaa

......
 
Muziki: Jumapili Bila Muziki, kweli😵

Habari Makapuku, wikend imeisha na sasa ni mwanzo kabisa wa wiki mpya. Itakuwa poa naamini.

Nilikaa kusubiri burudani ya Jpili, well ninapenda gospel zaidi ya gossip so nikakaa kumsubiri Sweetiepie akuje alete oldies lakini sijui yeye na EMMYGUY wamepotelea wapi, isiwe ishu, maana kama BlessedHope yuko kwenye maombi basi demi atakuwa anajiandaa na wiki mpya. Nikaona kama vipi wacha tupate japo muziki kiduuchu huku gitaa likitawala.

Kuna vitu kadhaa ambavyo mtu kamili anapenda ama kwa kupenda au kulazimika kuvipenda, mosi, kula na kunywa, pili, kujamiiana, tatu, kuwa na marafiki, nne, kufanya kazi. Na tano, kusikiliza muziki na hiki ndicho nakuletea muda huu ukijiandaa kuitafuta wiki mpya siku zilezile.

Wikend yangu ilikuwa vizuri na niseme tu ilikuwa nzuri sana maana wakati nimekaa mahali naangusha moja moja kwa mpango akaja jamaa ana duka mkononi (TRA msitoe macho) na akaniuzia spika yeye kasema ina bluetooth, sijaijaribu kuamini lakini niliinunua nikiwa under influence ya Safari. Niache porojo.

Inawezekana ushawahi kusikia wimbo huu ila muimbaji umekuwa huna hakika sana, maana ni wimbo wa kitambo sana lakini bado ukiusikiza utadhani ndo kwanza unanukia kama wali nazi au mishkaki ya kwa Mfojo au kwa Gideon (kile kichochoro cha Billz) au mishkaki ya kwa Igasha, well natamani kusema shurubati ya Salma koni kwa waliowahi kufika mza miaka ya zamani.

Anaitwa Emmylou Harris, ana tuzo 13 za Grammy kibindoni na keshafanya kolabo na wanamuziki nguli unaowasikia katika Country music.

Msikize hapa katika wimbo huu If I needed You. Ukiwa na muda usake ambao kafanya na Don Williams

Muwe na wakati mzuri watu wazuri wa humu Makapuku.

Muziki: Jumapili Bila Muziki, kweli😵

Habari Makapuku, wikend imeisha na sasa ni mwanzo kabisa wa wiki mpya. Itakuwa poa naamini.

Nilikaa kusubiri burudani ya Jpili, well ninapenda gospel zaidi ya gossip so nikakaa kumsubiri Sweetiepie akuje alete oldies lakini sijui yeye na EMMYGUY wamepotelea wapi, isiwe ishu, maana kama BlessedHope yuko kwenye maombi basi demi atakuwa anajiandaa na wiki mpya. Nikaona kama vipi wacha tupate japo muziki kiduuchu huku gitaa likitawala.

Kuna vitu kadhaa ambavyo mtu kamili anapenda ama kwa kupenda au kulazimika kuvipenda, mosi, kula na kunywa, pili, kujamiiana, tatu, kuwa na marafiki, nne, kufanya kazi. Na tano, kusikiliza muziki na hiki ndicho nakuletea muda huu ukijiandaa kuitafuta wiki mpya siku zilezile.

Wikend yangu ilikuwa vizuri na niseme tu ilikuwa nzuri sana maana wakati nimekaa mahali naangusha moja moja kwa mpango akaja jamaa ana duka mkononi (TRA msitoe macho) na akaniuzia spika yeye kasema ina bluetooth, sijaijaribu kuamini lakini niliinunua nikiwa under influence ya Safari. Niache porojo.

Inawezekana ushawahi kusikia wimbo huu ila muimbaji umekuwa huna hakika sana, maana ni wimbo wa kitambo sana lakini bado ukiusikiza utadhani ndo kwanza unanukia kama wali nazi au mishkaki ya kwa Mrojo au kwa Gideon (kile kichochoro cha Billz) au mishkaki ya kwa Igasha, well natamani kusema shurubati ya Salma koni kwa waliowahi kufika mza miaka ya zamani.

Binamu asante sana
 
Jioni huwa kuna totoz zinapita pita kule pembeni ya bwawa..

Afu uswazi kuna watoto wakaliiiii...sema tuu watu hawajui..

Mabibo pazuri sana mkuu..ila mimi nilipepanda kwa sababu ya soko la mabibo..

Bidhaa nyingi kwa bei pouuuuuwa.

Hasa vyakula.
Nitafanya matembezi
 
Muziki: Jumapili Bila Muziki, kweli😵

Habari Makapuku, wikend imeisha na sasa ni mwanzo kabisa wa wiki mpya. Itakuwa poa naamini.

Nilikaa kusubiri burudani ya Jpili, well ninapenda gospel zaidi ya gossip so nikakaa kumsubiri Sweetiepie akuje alete oldies lakini sijui yeye na EMMYGUY wamepotelea wapi, isiwe ishu, maana kama BlessedHope yuko kwenye maombi basi demi atakuwa anajiandaa na wiki mpya. Nikaona kama vipi wacha tupate japo muziki kiduuchu huku gitaa likitawala.

Kuna vitu kadhaa ambavyo mtu kamili anapenda ama kwa kupenda au kulazimika kuvipenda, mosi, kula na kunywa, pili, kujamiiana, tatu, kuwa na marafiki, nne, kufanya kazi. Na tano, kusikiliza muziki na hiki ndicho nakuletea muda huu ukijiandaa kuitafuta wiki mpya siku zilezile.

Wikend yangu ilikuwa vizuri na niseme tu ilikuwa nzuri sana maana wakati nimekaa mahali naangusha moja moja kwa mpango akaja jamaa ana duka mkononi (TRA msitoe macho) na akaniuzia spika yeye kasema ina bluetooth, sijaijaribu kuamini lakini niliinunua nikiwa under influence ya Safari. Niache porojo.

Inawezekana ushawahi kusikia wimbo huu ila muimbaji umekuwa huna hakika sana, maana ni wimbo wa kitambo sana lakini bado ukiusikiza utadhani ndo kwanza unanukia kama wali nazi au mishkaki ya kwa Mrojo au kwa Gideon (kile kichochoro cha Billz) au mishkaki ya kwa Igasha, well natamani kusema shurubati ya Salma koni kwa waliowahi kufika mza miaka ya zamani.

Anaitwa Emmylou Harris, ana tuzo 13 za Grammy kibindoni na keshafanya kolabo na wanamuziki nguli unaowasikia katika Country music.

Msikize hapa katika wimbo huu If I needed You. Ukiwa na muda usake ambao kafanya na Don Williams

Muwe na wakati mzuri watu wazuri wa humu Makapuku.

Ahsante Jorowe kwa muziki mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom