Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1972 - Wentworth Miller maarufu kama Michael Scofield anazaliwa.
Msanii wa movie kutoka nchini Marekani.
Msanii wa movie kutoka nchini Marekani.
Kwahiyo Yanga imekubali kunpoteza Manji kwa sababu ya Sportpesa?
Hahaaaa!Mambo vipi Mkuu! Nasikia unataka kufanya mapinduzi, binafsi kwa sasa nimeweka siraha chini lakini hii haimaanishi kuwa nimejisalisha! La hasha, najiandaa kufanya mapinduzi makubwa.
Asante sana mkuu1972 - Wentworth Miller maarufu kama Michael Scofield anazaliwa.
Msanii wa movie kutoka nchini Marekani.
Wanatupoza, wanatupunguza munkari!Hii sirikali uongo ni kawaida yako
Leo Katika Historia:
1953 - Malkia Elizabeth II anaapishwa kuwa Malkia wa Nchi hiyo baada ya kifo cha baba yake.
Alipewa wadhifa huo akiwa na miaka 25 na kudumu na wadhifa mpaka leo.
Bora umesema ukweli.Yetu macho na masikio
Umemuoa Sakayo?Hahaaaa!
Mimi nimestaafu kutongoza siku hizi..
Nimeshaoa mimi
1962 - Kombe la Dunia mwaka 1962 nchini Chile: Katika mechi ya Chile na Italy Polisi walilazimika kuingia ndani ya uwanja mara kadhaa ili kutuliza vurugu za wachezaji.
Hiyo ni moja kati ya mechi zilizojaa utemi na vurugu kubwa ambapo wachezaji wa Italy walikuwa wanalalamika refa kuwabeba Wenyeji Chile.
Unaona eeh?Bora umesema ukweli.
Aisee duh, anakula maisha tu bibi wa watuLeo Katika Historia:
1953 - Malkia Elizabeth II anaapishwa kuwa Malkia wa Nchi hiyo baada ya kifo cha baba yake.
Alipewa wadhifa huo akiwa na miaka 25 na kudumu na wadhifa mpaka leo.
Hebu ngoja ajibuUmemuoa Sakayo?
Na wewe pia mkuu MussoliniLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
1979 - Papa John Paul wa II anaanza ziara rasmi ya kutembelea nchi yake aliyozaliwa ya Poland na kuwa Papa wa kwanza kutembelea nchi ya kikomunist.
HBD Mark na Steve1965 - Mapacha Mark Waugh na Steve Waugh wanazaliwa.
Ni wachezaji wa mchezo wa Cricket.
Hahaha...2- Bashite
Refa alikuwa ni Mwingereza Ken Aston![]()
Km mnavyojua Waingereza na Wataliano hawapatani hivyo akajaribu kuleta fitna zake ila mwisho wa siku licha ya kubebwa na mwamuzi wenyeji Chile walipigwa goli 2 kwa Bashite
....