Lala cheupe wangu..Mungu akuongozeehakuna kitu
Kushika makalio raha ujue..sio mimi ni binamu ndio amesema T
Mzee mwenzangu bitoz
Sehemu ya 4 ya niniiii?Wakuu sehemu ya nne sasa iko tayar
Panapo majaliwa nitaidondosha hivi punde.
Nakuelewaaa rafiki kipenziiiiHajachoka... Wewe ndo umechoka Rafiki kipenz ha ha ha ha ha ha
Yap! Vice President Dick Cheney akawa anajigamba eti "We will be received as liberators". Liberators my foot. Kuivamia Iraq na kumwondoa Saddam ni mojawapo ya blunders kubwa za kihistoria kwa hawa jamaa. Na kwa vile huwa hawajifunzi, makosa yale yale tena wameyarudia Libya. Leo hii Walibya wanakufa kwenye boti kila leo wakijaribu kukimbilia Ulaya.Maelezo yako mazuri
Pia katika mashambulizi niliyoyaelezea ya huko Irak
Mojawapo liliwalenga hasa Washia ila sikuandika sababu ya kufupisha
Ila USA kumuondoa Saddam ndo kuliliamsha dude
.....
Ameen loveLala cheupe wangu..Mungu akuongozee
Aiseee acha nilale hivi T achana na pombe weed huwa unavuta?Kushika makalio raha ujue..
Sasa kama niko mbali na mke leo taabu tupuu..
And dream never die..Pongezii kwa mzee baba ...japo serikali waga inawatupilia kama haitambui mchango wao ila kiukwelii wanastahili heshima kubwa ...
Good enough kipind hicho nilikuwa maeneo ya kanda ya ziwa na yapo nayokumbukaa japo nilikuwa mdogo sana
Kama kwenye andakii nililala na ndo nikaota siku moja niishike Aka 47 ..smg na baadhi ya siraha kaliiii ...
Asantee ngoja tuichekiiiWakuu sehemu ya nne sasa iko tayar
Panapo majaliwa nitaidondosha hivi punde.
ndio hii binamu aliniambia kawakatisha story haendelezi tena imekuaje tena anaendeleaAhaaaaaah
Siku hizi shedy anatuwekeaa story
Si unajua siku hazitakiwi kuzidi... lazima tuhesabuMshaanza kuhesabu na week haijapita...?
Hebu mtulie bhana! Swalini mjiweke karibu na Allah..
Bangi inalimwa kule kwetu ! Si unajua ndio watu kule wanakula kama mboga...Aiseee acha nilale hivi T achana na pombe weed huwa unavuta?
No.. niyatatu siyo ya nneSehemu ya 4 ya niniiii?
Unakielewa... Ila unaogopa kujicomitKitu hukielewi unajibu nini
Pamoja mdauPongezii kwa mzee baba ...japo serikali waga inawatupilia kama haitambui mchango wao ila kiukwelii wanastahili heshima kubwa ...
Good enough kipind hicho nilikuwa maeneo ya kanda ya ziwa na yapo nayokumbukaa japo nilikuwa mdogo sana
Kama kwenye andakii nililala na ndo nikaota siku moja niishike Aka 47 ..smg na baadhi ya siraha kaliiii ...
Hahahaaa..Aiseee acha nilale hivi T achana na pombe weed huwa unavuta?