Duh kumbe wewe ni kaka kwanguNi kwelii mkuu japo nilikuwa mdogo ila nna kumbukumbu kidogo ...ila kiukweli tuombe aman ..uchumi ulidorora kwelii ila hatukufikiaa kwa hawa wenzetu tumshukuru Mungu
Kwani huwa "humvurugagi"?Nikuvirugeee na weww ??
Mshaanza kuhesabu na week haijapita...?Mfungo sita leo, ramadhan kareem
Kwani hamko pamoja? Msituzingue bana.Ushaanzaa sasa wewee ..unalala unaniacha na nan
tuendelee tu kukaaAu umechokaa ??
Sina kabisa mdau
Taaluma yangu kuchunga mbuzi siyo masuala ya ndege
Hata kupanda tu sijawahi !!
......
hahah eti kaka kwakoDuh kumbe wewe ni kaka kwangu
Mi wakati wa vita dingi(RIP) alikuwa kijana mjeda JWTZ na hivyo alienda kupigana vitani na kurudi salama na kustaafu miaka ya 200's akiwa Afisa huko jeshini
Ndiye aliyenisimulia mambo mengi
......
Daahsio kukuvuruga hayo mambo ya kushika makalio tena
Mwenzio ataka "mkalaleee"naomba basi tukalale mimi nasinzia
Sipendiii bwanaaah
Pongezii kwa mzee baba ...japo serikali waga inawatupilia kama haitambui mchango wao ila kiukwelii wanastahili heshima kubwa ...Duh kumbe wewe ni kaka kwangu
Mi wakati wa vita dingi(RIP) alikuwa kijana Afisa JWTZ na hivyo alienda kupigana vitani na kurudi salama
Ndiye aliyenisimulia mambo mengi
......
Wacha wogaSipendiii bwanaaah
Niko hapa mkuuNina shida na wewe
sio mimi ni binamu ndio amesema TDaah
Shunie jamaani ! Tumia hata rejesta basi...
Ramadhani hii
Mzee mwenzangu bitozhahah eti kaka kwako
Hajachoka... Wewe ndo umechoka Rafiki kipenz ha ha ha ha ha haAu umechokaa ??
Kitu hukielewi unajibu niniHakuna kufunga mdomo apo.... Toa tamko