Makapuku Forum

4/Cinema Rex fire Ilikuwa ni Agosti 1978 huko Abadan Magharibi mwa Iran
Shambulio lilifanywa na watu wasiojulikana ambao waliwasha moto mkubwa wakati mania ya watu wakiwa ndani, hapo sasa kila mtu akstaka kujiokoa mwisho wa siku watu 422 walipoteza maisha huku wengi wakiwa km majivu
.....
 
imeua watu wengi
 
Aiseee
 
3/Iraq May attacks
Ni mashambulizi yaliyotokea Irak mwezi May mwaka uleule wa 2013
Ulikuwepo mfululizo wa milipuko ya mabomu na watu kupigwa risasi katika mikoa ya Kaskazini na Katikati ya Irak
Watu zaidi ya 500 walipoteza maisha
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…