Makapuku Forum

Upo wewe bitoz wa mabibo
 
7/Beslan School Hostage Crisis Hii ilitokea mwaka 2004 wakati Wachechen (Chechnya) wakidai uhuru wao
Sasa wanajeshi wa Chechnya wakaliteka jengo la shule km shinikizo la kupewa Uhuru wao, sasa majeshi ya Urusi yakaamua kukomboa jengo/watu na hapo kuibuka mashambulizi
Mwisho wa siku watu 385 walipoteza maisha
Wahanga wakubwa wakiwa ni watoto
......
 
Duuuuuh ..ila hii naikumbuka ilikuwa hatar kipnd hicho
 
5/Massacre of Trujillo
Huu ulikuwa ni mfululizo wa mauaji yaliyofanyika kati ya mwaka 1988 hadi 1994 katika mji wa Trujillo nchini Colombia na genge la wauza dawa ya kule vya(unga) waitwao Cali Cartel ambalo lilikuwa haliguswi na
jeshi wala Polisi
Moja kati ya mauaji waliyoyafanya ni ya Father Tiberio Fernandez ambaye alikuwa ni Padri wa Kikatoliki mjini hapo
Walifanya mauaji ya watu zaidi ya 400 wengi wao wakitekwa na kuteswa
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…