Makapuku Forum

 
Asante sana Obe ubarikiwe,hakika ni burudani tosha siku ya leo,kazi yako ni njema
 
Nguo za mitumba zina raha yake. Na kama wewe na waliokuzunguka hamjui kilichoandikwa basi ni poa tu. Tatizo ni pale unapokutana na wanaojua maana yake, na kwa sababu ya "werevu" wao wala hawakwambii zinasemaje bali wanakucheka tu na kukupiga picha. Siyo fair kabisa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…