Makapuku Forum

Hapa ndio penyewe

Ahsante sana Jorowe
 
Asante Obe
Huyu jamaa mi namuelewa sanaa
 
ZABURI 37

25.Nilikua kijana nami sasa ni mzee,Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.

26.Mchana kutwa hufadhili na kukopesha,Na mzao wake hubarikiwa.

27.Jiepue na uovu ,utende mema,Na kukaa hata milele.

28.Kwakuwa BWANA hupenda haki,Wala hawaachi watauwa wake.Wao hulindwa milele .Bali mzao wa wasio haki ataharibiwa.

29.Wenye haki watairithi nchi Nao watakaa humo milele

30.Kinywa chake mwenye haki hunena hekima,Na ulimi wake husema hukumu.

Baba asante kwa kutuamsha salama ,tembea nasi siku ya leo Roho Mtakatifu tuongoze katika yote,uwe mwalimu wetu,mfariji,mlinzi.
Asante kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako,katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…