AYUBU 11
18.Nawe utakuwa salama ,kwa sababu kuna matumaini;naam,utatafuta -tafuta kando yako,na utapumzika katika salama.
19.Tena utalala,wala hapana atakayekutia hofu;Naam,wengi watautafuta uso wako.
Asante Mungu kwa ulinzi wako,asante kutufikisha umbali huu ,tusaidie tuzidi kukutafuta nyoosha mkono wako kutukinga na maovu ,tamaa,dhambi za kila namna,Roho Mtakatifu uwe mwalimu wetu mwema tuf
undishe kutenda mema ,tukae mbali na uovu ili tusahau tabu na mashaka yote.
asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Amen
USIKU MWEMA MBARIKIWE