Makapuku Forum

Muziki: Usizibane Hisia Zako

Habari Makapuku, ni usiku mwingie tena, waliomaliza majukumu ya kujitafutia kipato, hongera na wale night shifters basi 'good luck'. Mimi sijambo na ninajisikia vema sana kukutana nanyi hapa, Makapuku forum, sehemu ya maarifa, utani, kujamiiana na zaidi ni serikali ndani ya serikali. if that makes sense, if not, ni jioni tena na usijali maana kutakucha.

Well, segment ya gitaa na muziki ndo inayonifanya niwe sehemu ya Makapuku, na wewe unayejipa muda kuipitia basi tambua kuwa ninakuthamini sana maana wewe ni 'great pipo'.

Basi kama umesoma aya hizo hapo juu (ambazo huwa ni balah blah kujazisha ukurusa) basi turudi kwenye utamu wa gitaa katika muziki na leo tunamwangalia mtaalam wa sauti za kubembeleza Michael Bolton.
Yes, si wote mnajua kuwa jamaa mbali na kuwa na sauti nzuri kwa ajili ya watu wazima, jamaa ni mtaalamu wa kupiga gitaa na alipiga katika bendi ya muziki wa Rock miaka hiyo hajaamua kujikita kwenye 'soul', keshacheza sinema pia na kuandika vitabu.

Sikiza sauti yake katika 'pini' lake 'when a man loves a woman'


Hadi wakati mwingine tena. LLL
 
Asante Obe, ila Kwangu imegoma kufunguka
 
Sitak kubisha hili la ulimi.. Najiwazia tu Tembo uzito wake ni kama tani 7...
Ubiahe usibishe itadaidia nini?
Uzito wa tembo ni Tani 7
N yangumi uzito wake Tani 180
Sasa uzito(sio ukubwa) wa ulimi wa nyangumi kulingana na uzito wa tembo inaweza kuwa ni kitu cha ajabu?

Napenda watu wanaonichallenge kwa hoja au data
Sio kuishia juujuu tu
.......
 
Asante bhinamuu
 
Pamoja mkuu
 
AYUBU 11

18.Nawe utakuwa salama ,kwa sababu kuna matumaini;naam,utatafuta -tafuta kando yako,na utapumzika katika salama.

19.Tena utalala,wala hapana atakayekutia hofu;Naam,wengi watautafuta uso wako.


Asante Mungu kwa ulinzi wako,asante kutufikisha umbali huu ,tusaidie tuzidi kukutafuta nyoosha mkono wako kutukinga na maovu ,tamaa,dhambi za kila namna,Roho Mtakatifu uwe mwalimu wetu mwema tuf
undishe kutenda mema ,tukae mbali na uovu ili tusahau tabu na mashaka yote.
asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako.

Katika jina la Yesu Amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE
 
Shukraniii..
Kweli bro tumetoka mbali aisee tumekutana wote wageni humu nashukuru hapa Kp ndio pamenifanya mom kujulikana na kufahamiana na memba mbalimbali.
Tuko pamoja ila mm lika lako tu sio mkubwa ki hivyo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…