Hajaeleza kitu maana Jokakuu kauliza swali, wewe nambie zile shule ulizijenga wewe au wazazi wetu walizijenga?.. Na kwa nini unasema kuna shule za Wakristu hawa walikuwa kina nani?Ninachojua ni hicho alichokieleza Joka kuu kwenye thread namba 297. Kwahiyo ukubali tu kwamba Nyerere aliwafanyia favor kwa kuwapora mashule wengine ili na wale wasio na shule zao kama waislamu wapate access kwenye shule ambazo kimsingi zilikuwa ni kwa ajili ya watu wa dini fulani tu. Huo ndo ukweli, ukubali ukatae, Nyerere aliwabeba waislam katika suala la elimu, full stop.
Ina maana unataka kuniambia kuwa pamoja na usomi wako huo umeshindwa kujua kuwa Wakoloni kila wanapokwenda wanakwenda na Wamisionari?! umeshindwa kujua kuwa Tanganyika pia walikuja pamoja na Wamisheni?Wakoloni walijenga shule za serikali, na makanisa yalijenga shule za wakristo wao. Inaonekana hata huelewi kwamba kabla ya uhuru shule ya wakatoliki walikuwa wanasoma wakatoliki, ya waanglikana ni kwa ajili ya waanglikana etc. Na serikali ya kikoloni ilikuwa na shule zake ambazo hazina uhusiano na dini yoyote. Inaonekana hilo hujui, unabwabwaja tu.
.Hajaeleza kitu maana Jokakuu kauliza swali, wewe nambie zile shule ulizijenga wewe au wazazi wetu walizijenga?.. Na kwa nini unasema kuna shule za Wakristu hawa walikuwa kina nani?
Sikonge.Mkuu Barubaru, Leo Ijumaa, kusema maneno yanayopishana na UKWELI kwa mtu kama wewe si vizuri. Sidhani kama Allah anapenda hilo. Nitakuambia tena na tena, SIKONGE Hospital ya Wamoravian, hawalipwi hata senti tano na Serikali kwa siku nyingi. Hata madawa kwa sasa wanatumia yanayotolewa nje ya nchi. Sanasana kwa yale magonjwa hatari kama Ukimwi, Ukoma nk Ukitaka naweza kukupa simu ya Kiongozi mkubwa tu wa Hospitals na atakupa maelezo yake yote kuhusu ugumu wanaoupata kwa kutokupewa pesa na Serikali. Najua una fahamiana na watu wengi hapa TZ, basi waulize kwa mwaka huu tu wameshapeleka SHILINGI ngapi Sikonge Hospitals? Pana wakati walikuwa na deni kubwa sana la mafuta kutoka kwa Hemmed Nassor na ikabidi tu wamlipe kwa kumpa gari ambayo ilikuwa imeletwa kama msaada. Enzi hizo hata umeme hakuna na inabidi wawashe Generator kama wanataka kufanya upasuaji wa mtu yeyote bila kujali ni nani. Leo nasikia eti WANATAJIRIKA. Fanya homework yako tena. Vinginevyo utasikia hata ndugu zako wa SIkonge wanabadili dini ili waweze kutibiwa. Sidhani kama utaweza kuwasaidia wote kwa matibabu maana kifamilia kikubwa sana..
Sikonge.
Tunarudi pale pale kuwa hujui maana niliyobainisha pale nilipopambanua MoU yenu niliposema Admin Cost na Ops Cost.
Ulizobainisha ni sehemu tu ya Pps cost. labda nikuulize je mishahara ya wafanyakazi wake kuanzia madaktari, wauguzi na watu wa maabara wanalipwa na nani?
lakin kubwa ili kuleta maendeleo huko tabora lazima kupatikane barabara za Uhakika, Usafiri mzuri wa Reli na kupatikana kwa nishati ya Umeme NA MAJI.
nahene
INGEKUA VIPI KAMA ISINGEKUAPO NDANDA HOSP.NYANGAO HOSP,IFAKARA,PERAMIO,KITUO CHA AFYA MBAGALA(MBAGALA MISSION),BUGANDO HOSP.KCMC HOSP.....NA NYINGINEZO NISIZOFAHAMU,
AU INGEKUA VIPI VYOTE NILIVYOTAJA VINGEKUA VINAUDUMIA WAKRISTO TU,
ushauri wa bure ni kwamba,ukimuona jirani yako amevuna mahindi mengi shambani mwake jiulize utamzidi vipi mavuno hayo na si kwenda kwa mganga kutafuta dawa ya kumroga.
Hutakosea kama utasema kuwa kuna Maknisa yaliyojengwa na Mkoloni (mengine kupitia wamisionari) kwa pesa za nchi...halafu tukidai kwamba shule ni za wakoloni, what about Makanisa na Misikiti?? Je, tutakuwa tumekosea kusema kwamba kuna Misikiti na Makanisa ya wakoloni??.
Hakuna mwenye shida au kelele na Shule,Mahospitali na Makanisa yaliyojengwa kwa njia hii.........ila vilivyojengwa baada ya kusainiwa MoU vinabidi kuchunguzwa kama havikutokana na pesa ya MoU moja kwa moja au faida ya biashara za Mahospitali na vyuo vilivyofaidika na MoU.Joka Kuu said:NB:
..kuna shule za madhehebu ya dini zilijengwa kwa njia ya kujitolea na waumini wa eneo husika.
INGEKUA VIPI KAMA ISINGEKUAPO NDANDA HOSP.NYANGAO HOSP,IFAKARA,PERAMIO,KITUO CHA AFYA MBAGALA(MBAGALA MISSION),BUGANDO HOSP.KCMC HOSP.....NA NYINGINEZO NISIZOFAHAMU,
AU INGEKUA VIPI VYOTE NILIVYOTAJA VINGEKUA VINAUDUMIA WAKRISTO TU,
ushauri wa bure ni kwamba,ukimuona jirani yako amevuna mahindi mengi shambani mwake jiulize utamzidi vipi mavuno hayo na si kwenda kwa mganga kutafuta dawa ya kumroga.
Haya ni mawazo mgando kwani yanaonyesha udini hasa, hivi kwa mawazo yako kwa nini hao waislamu wasianze kutoa huduma hizo za bei nafuu ili watu wengine waende huko na ama wao kuwa na MOU na serikali kwani nani kawakataza au kuna faida gani kwa muislamu kung'ang'ania huduma za gharama kubwa anazojua zinafuja kodi yake kama hanufaiki nazo?
Hata hivyo hujalazimishwa kutumia huduma za kanisa kama unaona kutumia huduma hizo ni mfumo kristo tumia za kiislamu maana una uhuru huo wala hulazimishwi. Hiyo misamaha na hata hiyo MOU unayosema haijazuiwa kwa waislamu na sijaona ukishauri kuwa waislamu wawe na MOU na serikali maana misamaha ya kodi tayari tunanufaika nayo.
Si waislamu wote wana mawazo ya udini kama haya kwani wanaelewa athari zake.
Wenzenu wanaitisha harambee kuchangisha fedha za kuanzisha miradi ya maendeleo nyie mnasubiri OIC iwaletee vya bure.
Dear Barubaru
niliattend kikao kwa mualiko rasmi kama mtaalamu mshauri, hivyo ni haki yangu kupokea bahasha baada ya kutoa utaalamu husika;
tukirudi kwenye pole yako kwangu kuwa sio ruzuku bali ni msamaha wa kodi, naomba nikupinge tena na kukurudishia weye pole yako, ni kuwa kwa sasa private hospitals zinapokea government cash ili kusaidia kuboresha huduma ya afya pamoja na kutoa unafuu
nanukuu:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Now private hospitals to receive govt cash
[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]Send to a friend
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Friday, 11 November 2011 22:26
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.
By Songa wa Songa
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. In what has been described by observers as a major policy shift, the State will soon start allocating substantial amounts of money to private hospitals to facilitate more and better health service delivery in disadvantaged rural communities.
It has emerged that the government and donors have reached an agreement to channel half of the Sh168 billion in health budget support funds directly to public and private hospitals at the grassroots.
According to the government and the donors, this is a deliberate move to drive quick health delivery results through local councils throughout the country.Areas targeted include those that are highly disadvantaged, it was revealed yesterday by the ministry of Health and Social Welfare.
The donors who are expected to contribute some Sh168 billion this financial year noted that the new cash injection system would expand access and quick health service.
Through the initiative, about half of the funding or Sh81 billion will be channeled directly to local government authorities. This amount will go into financing front line health services in both private and public institutions.
The move to directly channel health funds to the councils would be welcome news following widespread complaints of embezzlements by the many layers of State bureaucracy. "
asante Barubaru, ni kwania njema serikali inafanya ifanyayo kupitia wafadhili wakuu ambao ni global fund ( muungano wa nchi zinazokubali ushoga , nchi zenye mfumo kristo tena wa kanisa katoliki etc...) ili kunufaisha jamii ya watanzania kwa umoja wao wa kiislamu, kikristu na kipagani...
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Usieneze uwongo mwingine. Mimi niko kwenye bodi ya marafiki wa hospitali ya Shirati. Hii hospitali ilijengwa na kanisa la Mennonite katika miaka ya 40 na kwa miaka yote imekuwa inahudumiwa na michango ya kanisa. Mitambo ya x-ray, mitambo ya umeme wa jua, tunalipia sisi kutokana na michango tunayokusanya kila mwaka hapa Marekani, hasa kutoka kwa Wamarekani waliowahi kufanya kazi katika hospitali hiyo na maeneo mengineyo ya mkoa wa Mara. Bajeti yetu kila mwaka ni kama dola laki mbili. Kuna vifaa vingine tumepewa bure na baadhi ya hospitali hapa Marekani. Kazi yetu ni kuvisafirisha tu na kuhakikisha vinafika Shirati. Mkuu wa hospitali ni dakta Chirangi anayelipwa na kanisa. Serikali, miaka michache iliyopita, iliamua kuifanya hospitali hiyo kuwa ya rufaa katika mkoa wa Mara. Waliahidi kutoa madawa,na kulipa mishahara ya wafanyikazi. Sisi tutaendelea kuchangisha hela za kulipia mitambo mbalimbali. Lakini kufikia leo, 2012, serikali haijatoa dawa au malipo ya wafanyikazi. Kwa hiyo unaposema kuwa kanisa liliwekeza katika majengo tu unasema uwongo wa mchana kweupe. Kama hujui kitu ama uliza au nyamaza. Kuna madaktari wa Kimarekani hujitolea wakati wa likizo zao, kwenda kufanya kazi bure pale kwa wiki mbili au tatu kila mwaka.
Ahali yangu naona umekurupuka na kukimbilia kujibu bila kusoma nimebainisha nini.
lakin kwa kukusaidia zaidi kumbuka kuna mahospital ya taasisi za kidini lakin yanatumiwa na Serikali kama ilivyo Bugando, KCMC na nyingine za ngazi za wilayya kama ile ya kule Ngara. Hizo zinapata au wafanyakazi wake wanalipwa na Serikali na ni waajiriwa wa Serikali kuanzia madaktari, wauguzi na watu wa maabara na vile vile Serikali yenu inatoa pesa kwa ajili ya vifaa na madawa kutoka MSD.
Hizi ndio mananisa yanapokea Admin cost ambayo ndio hiyo MoU.
lakin vile kuna hospital zinazojiendesha zenyewe kama Agha Khan, Hindu mandal, na nyingine kama hiyo ulioitaja ambazo zinaendeshwa na taasisi binafsi bila kula pesa za MoU. Hospital hizo hazipati wataalamau wa Afya ambao ni waajiriwa wa Serikali ya JMTz na kila mtu analipwa na taasisi inayomiliki kama hiyo yenu.
Pole sana nisome vizuri utanielewa.
Nimekusoma vizuri sana. Hukusema hivyo mwanzoni. Ulisema makanisa yalijenga majengo ya hospitali na serikali ikalipia vifaa, something which is simply not true. Hii ya kulipia wafanyikazi na madawa nimeitaja vile vile.
Hutakosea kama utasema kuwa kuna Maknisa yaliyojengwa na Mkoloni (mengine kupitia wamisionari) kwa pesa za nchi.
Lakini utakosea kama utasema kuwa kuna Misikiti ya Wakoloni, unless leo utuambie kuwa Muarabu aliwahi kuikalia Tanganyika kama koloni lake!...zile ni pesa za jasho la Waumini wenyewe aidha iwe Waarabu au Waafrika.
Hakuna mwenye shida au kelele na Shule,Mahospitali na Makanisa yaliyojengwa kwa njia hii.........ila vilivyojengwa baada ya kusainiwa MoU vinabidi kuchunguzwa kama havikutokana na pesa ya MoU moja kwa moja au faida ya biashara za Mahospitali na vyuo vilivyofaidika na MoU.
Masuala haya ni lazima yajadiliwe sasa hivi kama sio hivyo basi yatakuja kuhojiwa na vizazi vya baadaye katika lugha isiyopendeza.
Isiwe kama Nyerere ambaye alikuwa na solutions za muda mfupi katika haya masuala.