Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Mkuu Sikonge wazo lako si baya lakini yawezekana likawaumiza zaidi wasiohusika.

Zamani nikiwa mdogo nilikuwa nashangaa sana kuona kwa nini hatuna bomba la maji wakati serikali inaweza kuchapisha hela na kutuwekea maji kila mtu nyumbani kwake. Nilikuwa sijui kitu, kwa hiyo kwa wakati huo mawazo yangu yalikuwa sahihi. Niliona uwezekano wa kuihudumia nchi ni mkubwa kwani Tanzania nilioijua ilianzia Ghana Avenue nilikozaliwa na kuishia Kimara Temboni shambani kwetu.

Kwa aliyefika Mafia atajua shida za Waislamu haziletwi na mtu mwingine bali URITHI wa kutopenda kujiletea maendeleo ulioletwa na Mwarabu nao wakaukumbatia kama sehemu ya Imani ya dini yao.

Mabusha na Malaria ni tatizo Mafia, lkn ukihitaji matibabu ya uhakika yakulazimu upande Jahazi kuja Mchuku Mission Hospital ambayo ipo km kadhaa kutoka Kibiti-Rufiji.

Juzi juzi hapa Kanisa liliomba ardhi kwa serikali ya Mafia lkn suala hilo likaleta mzozo mkubwa mpk wananchi wakahitilafiana na mbunge wao sababu tu ya chuki za kidini. Waislamu wanaamini kuwa Kanisa lilikaribishwa Mafia basi dini yao itakuwa mashakani, lkn Waislamu hao hao hufunga safari kwa shida na tabu za jahazi mpk Bara na kuingia ndani km kadhaa kuitafuta Mchuki Mission Hospital hapo hawana shida na Ukristo.

Hawa ndugu zetu wamerithi ujinga mkubwa sana toka kwa Waarabu. Mwarabu hakuwa na utamaduni wa kufanya maendeleo. Itazame Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Lindi na miji mingine waliokaa wakoloni wa Kiarabu kama kuna urithi wa jengo la zahanati au darasa.

Wanawake wengi ndio maendeleo ya waharabu!! Uzi*zi kwa kwenda mbele hata mzee mtoto atakuwa karidhi kutoka kwao. Hata ukichumguza vizuri kwenye mikoa uliyotaja wenyeji wengi kazi ni yao kubwa ni hiyo hiyo, kucheza ngoma, ushirikina, vijiwe kwa wingi n.k yaani mambo ya kipuuzi ndiyo jadi yao
 
Mimi nimesoma saikolojia kidogo so ngojeni niwape siri. Katika mashindano yoyote yale, kama unashindana na mwenzako mkiwa kimya kimya, unakuwa unajiuliza mwenzako anafikiri nini wakati huo wewe ukiwa nervous. Lakini ukisikia mwenzako analalamika kwamba wewe umependelewa, unaagundua kwamba ameshindwa hiyo game so anatafuta kisingizio cha kuhalalisha kushindwa kwake. Sasa kisaikolojia ni kwamba wewe sasa baada ya kusikia mwenzako analalamika, inakupa nguvu wewe ya kusonga mbele zaidi hata kama ulikuwa umechoka.

Na hii ndo imekuwa ikiendelea kutokea tokea tupate uhuru. Mwisilamu anapolalamika inampa fursa mkristo kugundua kwamba yuko mbele kimaendeleo. Hii inamfanya mkristo aendelee kufanya mambo ya kimaendeleo. Wauslamu mkiendelea kulalamika ndo inafanya wakristo wafanye maendeleo zaidi ili kuwapiga bao. Nawashauri waislamu nendeni shule mpate elimu maana mna asilimia ndogo sana mavyuoni. Fanyeni maendeleo kwanza kulalamika baadae.

Dunia inaongozwa na pesa. Hata mkilalamika kiasi gani kwa raisi wenu muislamu, hawezi fanya chochote maana atakuwa upande wa wale wanaoleta maendeleo na kufanya pesa izunguke.
 
Memorandum of Understanding si mkataba ni makubaliano ya pande mbili ambayo hayajafikia hatua ya mkataba.

Kawaida pande mbili zinazoshirikiana katika shughuli fulani muhimu hupenda kuweka makubaliano ya ushirikiano wa shughuli zao kwa maandishi. Makubaliano hayo kawaida yanaeleza:
(1) Pande husika katika makubaliano,
(2) Mambo wanayokubaliana na malengo yake,
(3) Majukumu ya kila upande katika ushirikiano, na
(4) Saini za Wawakilishi wa pande mbili.

Ni makubaliano na si mkataba. (It is a gentlemen way of spelling out agreement).

Mkataba unakuwa na vipengele ambavyo vimeainishwa kwa uwazi zaidi, mf. kiasi cha fedha, muda wa mkataba, muda wa kutoa n.k. Lakini kwenye MoU inatosha tu kutaja nyanja za ushirikiano, na kwa kuwa haitaji mambo ya msingi kama kiasi na muda, pande husika haziwezi kurudi kwa kutumia MoU kudai haki fulani katika makubaliano hayo.

MoU haina nguvu ya kisheria.

Definition ya MoU
A memorandum of understanding (MOU) is a document describing a bilateral or multilateral agreement between parties. It expresses a convergence of will between the parties, indicating an intended common line of action. It is often used in cases where parties either do not imply a legal commitment or in situations where the parties cannot create a legally enforceable agreement. It is a more formal alternative to a gentlemen's agreement.

Memorandum of Understanding kati ya Makanisa ya Kiprotestanti na Katoliki kwa upande mmoja na Serikali, inatokana na ukweli kuwa Makanisa yamekuwa yakitoa huduma za jamii ambazo ni jukumu la msingi la Serikali. Huduma za Tiba zitolewazo na kanisa ziko zaidi katika maeneo ya vijijini ambako Serikali bado haijaweka huduma hizo. Ushirikiano huo ni msaada mkubwa kwa serikali ambayo ingepasika kuwajibika kwa raia wake wote hata hao wa vijijini kwa huduma hizo.

Vilevile wilaya nyingi zilizoanzishwa miaka ya baadaye baada ya uhuru hazikuwa na hospitali za serikali zenye hadhi ya kuwa Hospitali za wilaya na Serikali imeomba ushirikiano wa Kanisa kutumia hospitali zake kama hospitali teule za wilaya. Mfano: Nkansi, Bunda, Sumve, Rombo n.k.

Nimepitia ripoti ya miaka 50 ya uhuru ya Wizara ya afya na naomba muangalie ukurasa 61 na 62 kwenye link hii hapa http://www.tanzania50uhuru.go.tz/wizara/afya2.pdf

Kwa haraka nimepitia Hospitali, vituo vya afya na zahanati za makanisa yaliyosaini MoU hiyo na kupata 551. Hizi karibu zote zilikuwepo wakati wa kusaini MoU hiyo. Zingatia kuwa nyingi kati ya hizi ni zahanata, ambazo ziko vijijini, ambako hakuna huduma za serikali, na hazipati ruzuku yoyote.

Wengi wanapotosha kuwa kuna fedha zinatengwa tofauti eti ni fedha za MoU kwa ajili ya kanisa. Naomba niweke wazi hapa na kama kuna mwenye data za kupinga aje nazo hapa. Kuna fedha zinazotengwa katika bajeti ya wizara ya afya kwa ajili ya wilaya mbalimbali. Zile wilaya ambazo serikali haijajenga hospitali zake na iliomba yenyewe kutumia hospitali za mashirika ya dini basi bajeti ya afya ya wilaya inapelekwa kwenye halmashauri husika na sehemu inayohusika na uendeshaji wa huduma za hospitali ya wilaya inapelekwa kwenye hospitali teule, ambayo mganga mkuu wake huripoti Wizara ya Afya. Kadhalika kuna fedha zinazotengwa na wizara ya afya kwa ajili ya uendeshaji wa Hospitali za rufaa zinazomilikiwa na makanisa.

Gharama zinazotolewa ni za uendeshaji tu, yaani kununua dawa, mishahara, na gharama zinazoambatana na uendeshaji tu. Makanisa hugharimia majengo na hutafuta yenyewa fedha za ukarabati. Mfano Kilimanjaro Christian Medical Centre KCMC inatafuta TShs billion 3 toka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya ukarabati.

Naomba niweke wazi pia kuwa serikali haitoi fedha yoyote ile kwa ajili ya shughuli za elimu zinazoendesha na kanisa. Wale wanaosema kwamba Seminari na Division I za Marian ni kutokana na MoU, ni ama wanapotosha makusudi au wanaongea kitu ambacho hawakijui. Ambaye ana ushahidi tofauti naomba aulete hapa.

MoU kati ya Kanisa na Serikali inaongelea suala la huduma za jamii tu, haihusiki na mengineyo kama ambavyo watu wengi wamekuwa wakipotosha.

Suala ya misaada ya fedha si kwa hospitali zote, zaidi ni zile Teule na za rufaa, ambazo Serikali inazihitaji.

Bado Makanisa yanabeba jukumu kubwa la kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi na ukarabati. Waumini wanajua jinsi wanavyochangishwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi na ukarabati na wakati mwingine hata kuziendesha taasisi hizo.

Nimeweka attachment ya zahanati, vituo vya afya na Hospitali za Makanisa ili muone jinsi huduma hiyo ilivyoenea vijijini (remote areas).

Kwa kuwa tuna wabunge wenye imani tofauti bila shaka na maslahi tofauti, kwa nini wanaodhani MoU inawadhulumu wasitume wabunge wanaoamini kuwa MoU inahujumu maslahi yao wapeleke hoja binafsi bungeni kujadili hili?

Kwa nini Rais, Makamu wa Rais, na Waziri wa Afya ambao si wakristo wote hawajaona hilo, kwa nini hawa hawaulizwi badala yake imekuwa sababu ya kuanzisha conspiracy theories zinazoleta uchochezi?
 
Attachments

Mkuu Mnyakaye,

Ohh, MNYA-KAYE?!?!Scheiße!
HOJA YAKO KIASI ULICHOLENGA KIMEELEWEKA INGAWA HUKUELEWEKA KATIKA MAENEO MENGI, MFANO HAYO MAANDISHI MEKUNDU NILIYOKOLEZA. NI KWELI KWAMBA HOSPITALI ZA WAKRISTO, WAISLAMU WANALIPA GHARAMA KUBWA KULIKO WAKRISTO ? NAKUSHAURI ONGEZA MASAA YA KUFANYA KAZI ZA KUKUONGEZEA KIPATO BADALA YA KUZURULA KUANZIA J3 HADI J2 IKIWEMO SIKU YA IJUMAA. KAZI KWAKO.
 
Malalamiko ya Waislamu yamekuwepo kabla ya MOU ya 1992. Yataendelea kuwepo hata baada ya MOU kufutwa. Mark my words.
 
Mkandara,

Kwanza lazima nitangaze upande. Mie ni MKRISTO wa Moravian. Ila zaidi ya nusu ya familia ni Waislaam. Siwezi kuwatukana kwa sababu kwa Mama na kwa baba wamejaa Waislaam.

Nashukuru kuwa walau unakiri kwamba hizi Taasisi za dini zinasaidia na kuwa Wewe, Kikwete, Lipumba na wengine wengi ambao ni Waislaam, mmesaidiwa/kusomeshwa na hizi taasisi.

Marehemu Baba yangu mdogo, alichaguliwa kwenda kusoma shule za Wamission wakati wa ukoloni. Akiwa njiani kwenye gari, aliruka na kurudi nyumbani. Niliambiwa na wazee wengi kuwa darasani alikuwa moto wa kuotea mbali na kama angeliendelea, basi kuna kila dalili angelikuja kuwa ni mmoja wa Wasomi wa Mwanzo wa Sikonge.
Kisa cha kuruka kwenye gari ilikuwa ni kuogopa kwenda kulishwa Nguruwe. Ila Baba yake mdogo, alikwenda kusoma na alipomaliza shule, ingawa alikuwa kabatizwa, alirudia dini yake na kujiolea wake kadhaa.......

Enzi hizo, huwezi kufanya kazi Moravian kama wewe si Moravian. Kuwa Mkristo tu haikuwa inasaidia ila lazima uwe Moravian. Kwa sasa hivi hakuna tena anayejali na nakumbuka wakati Katibu wa hospital alikuwa Muislaam. Sasa hivi wanajitahidi kusomesha watu wao kwenye uongozi.

Inapokuja kutibiwa, hakuna swali kama hilo. Hizi hospital zinafanya kazi kwa shida sana. Hizo zinazoneemeka kwa fedha ya Serikali ni chache sana. Sikonge nimeshasema hata mishahara sasa Serikali imegoma kutoa tangu mwaka 2006. Wanajiendesha kwa misaada ya Wakristo kutoka nje na Wasamaria wengine wema ninaamini wapo wasio na dini na hata Waislaam walioko nchi za WEST.

Mkuu Mkandara, nakubaliana na maneno yako kuwa ni SERIKALI inabidi iwe inatoa huduma kama za MAJI, UMEME, Usafiri kama UDA, Matibabu, Shule nk. Hiyo ndiyo kazi ya Serikali. Ila kwa sababu walishindwa na hasa enzi ya Mwinyi, hapo ndipo mambo yalianza kubadilika. Mikataba kama hii ikaanza kuandikwa. Hapa tatizo liko wapi? Kanisani au Serikalini?

Huwezi kuanza kumtibu mtu aliyeumia kwenye moto kwa kumfunga Bandeji huku akiwa bado motoni. Inabidi kwanza umtowe motoni na umuweke kivulini na ndiyo uanze kumuwekea vitambaa. Serikali ilishindwa kuhudumia na ikaomba Makanisa yasaidie. Hapa ili kubadilisha hili, Serikali kwanza ianze kuchukua Majukumu yake kwa kujipanga vizuri. Kidogo kidogo ianze kuchukua majukumu ya kuhudumia Watu wake na mwisho itafika wakati, Serikali haihitaji tena huduma za kanisa na itavunja mkataba.

Nitamuelewa sana mtu atakayeipigia Makelele Serikali na siyo makanisa. Ila kama unakuja na story kuwa SERIKALI ya TANZANIA inafilisika kwa kuwalipia Wanafunzi ada na kuzilipa taasisi za makanisa pesa, basi ni au wewe kweli unatakiwa kupewa huduma ya kwanza au unajifanya tu hilo hulioni.

Kama Waislaam mkianzisha juhudi za kuilazimisha SERIKALI ichukuwe Majukumu yake, basi ni mie MNIHESABU.

Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..

Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..

Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.

All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...

Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
 
Siyo mara ya kwanza na wala siyo mara ya mwisho Mkuu, nimeshazoea.

Kwa wanaonifahamu, basi huwa wanaelewa nina lengo gani, na hawa hawaisaidii sana makala.

Hao wanaoshambulia ndiyo wanaoifanya makala iwepo. WAPE HESHIMA YAO 🙂
baadhi ya waliochangia hii mada na kumshambulia sikonge walikurupuka
 
Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..

Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..

Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.

All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...

Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
Mkandara, naamini wewe ni msomi na una uelewa mkubwa sana kuliko wenzako walio wengi ambao wanaandamana bila hata kujua ni kwanini wanaandamana. Naamini unajua wazi kabisa kwamba serikali haina uwezo wa kutoa huduma zote za jamii kwa watu wote, pia unajua wazi kabisa kwamba waislam hawajawekeza vya kutosha kwenye suala zima la huduma za jamii. Hivi kama leo hii itatokea MOU ivunjwe, na wakrito wakasema tutatoa huduma kwa watu wetu tu kwa kuwa wao wanachangia sadaka, unafikiri waislamu wataenda wapi? Na niambie umoja wa taifa utajengwa vipi kama huduma za jamii zitatolewa kwa udini? Kumbukeni kwamba sehemu nyingi za vijijini ambako kuna wakristo na waislam huduma nyingi za kijamii kama maji na afya zinatolewa na mashirika ya kidini?

Kule kijijini kwetu kanisa la Anglikana limegawa ng'ombe wa maziwa kwa akina mama wa dini zote waislam na wakristo bila ya ubaguzi wowote, na hivi sasa wakina mama wale wanaweza kusomesha watoto na wanajikwamua kutokana na umaskini. Hivi kanisa lile lingeleta udini, hali ingekuwaje kwa waislam? Hata rais wenu amesoma shule za misheni, kama kusingekuwa na huu utaratibu waislam wangesoma wapi jamani na hali shule hamjengi? Sasa hivi ukienda peramiho au KCMC unapata huduma kama mtanzania na si kama Muislam au Mkristo, na unapata huduma yenye ubora sawasawa, sasa kinachowauma ni nini?

Nakuhakikishia Mkandara wanaoongea maneno ya hovyohovyo namna hii na kuupotosha umma ni watu ambao hawajaenda shule. Na ni fedheha kwako kufuata maneno haya ya wakosaji. Maana mkataba mnaoulalamikia si wa wakristo na serikali tu bali ni wa serikali na mashirika ya dini yakiwemo ya waislamu. Tatizo ni tu kwamba shule zenu wanasoma waislamu tu. Hiyo ndo tabu yenu. Lakini najiuliza kama mikataba hii ya serikali kuchangia gharama za kuendesha huduma za jamii zinazotolewa na mashirika ya kidini itafutwa, ninyi mashirika yenu mtaendeshaje na hivi mnategemea misaada kwa kila kitu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu kwanza nashukuru umewaletea watu kitu hiki ambacho nimekisoma na kuwasoma baadhi ya watu na kwa uhakika imethibitisha UDINI uliopo nchini hauwezi kuzimwa kirahisi. wadanganyika ni WABINAFSI sijapata kuona maishani..

Mmejaribu sana kujenga hoja na hata kuendelea kuwatukana waislaam lakini, Je sii mawazo haya haya wana CCM husema kuhusu Chadema?..Iweje leo inapofikia swala la dini nyie wenyewe wana Chadema mnabadilika wakati mnajua fika CCM inawakandamiza wananchi japokuwa wapo watu watajiri na wanaofanya vizuri.. Majority ni maskini. Mbona sioni matusi haya kwa maskini wakulima na wafanyakazi ya kwamba hata wakikamatwa mafisadi bado mtaendelea kulalamika!..Nilikuwa nawaamini sana vijana wa Chadema kuwa wasomi na wenye kuelewa lakini sasa naanza kuingiwa na shaka kubwa sana..

Nimemsoma Jasusi, Mtu wangu na amenisikitisha sana kwa sababu swala sio waislaam wanataka nini isipokuwa jambo lililofanyika ni kinyume cha sheria. CSSC ni shirikisho la dini tofauti kabisa na NSSF ambalo ni shirika la Taifa na board yake inatokana na serikali iliyopo madarakani sio kama CSSC ya makanisa. Halafu maneno ya kujilinda anaposema hata MoU ikivunjwa Waislaam wataendelea kulalamika! kumbe mnajua hawa sii kama nyie eeeh! hatuko pamoja ila kuna wao na sisi. Bila shaka wataendelea kulalamika ikiwa kuna makundi na kutakuwa na jambo jingine maana nijuavyo hawajarudishiwa shule zao.

All am asking for ni fairplay. iwepo policy moja kwa wote na sio kundi la watu. kama tuna Private schools sheria zake ziwahusu shule zote za Private, ikiwa kuna ruzuku zitapewa zote kulingana na aidha wananfunzi wanaosoma pale, na muhimu zaidi serikali yetu ijikite ktk kuwalipia ada na matuzmizi wanafunzi badala ya kuziendesha shule hizo. Hivyo kila shule zita compete na real market price itajitokeza wakati huo huo serikali ikiziboresha shule zake...

Binafsi yangu naamini kabisa Tambaza ya wakati wa Nyerere sio Tambaza ya leo kiwango cha Elimu nchini kimeshuka kiasi kwamba wanafunzi wanamaliza darasa la saba wengine hawajui kusoma wala kuandika na hii ni across the board..Shule na Hospital zimekuwa utapeli mwingine ambako madawa na huduma fake zinapatikana kwa wale wasiokuwa na uwezo..
Mkandara,
Mimi sijui kama MOU ilikuwa kinyume cha sheria. Kama ilipitishwa na serikali na kujadiliwa na baraza la mawaziri sioni tatizo kabisa. Kama nilivyosema katika uzi mmoja mimi ni member wa bodi ya hospitali ya Shirati. Kwa zaidi ya miaka 60 hospitali hii imeendeshwa kwa sadaka ya kanisa na misaada kutoka hapa Marekani. Ni serikali ndiyo illiyofuata uongozi na kutaka kuifanya iwe serikali ya rufaa ya mkoa kwa kuahidi kuwa watatoa dawa na kulipa mishahara ya wafanyikazi, jambo ambalo halijatokea mpaka hivi leo. Lakini nimesema MOU siyo lalamiko peke yake la Waislamu kwa sababu hata kama itafutwa, na hii ni kwa mujibu wa maandishi wa Mohamed Said, bado wataendelea kulalamikia kile wanachoita "mfumo kristo." Mimi kwangu hapo ndipo tunapoachana njia panda kwa sababu nakumbuka hata Misri wakati wa Nasser na Sadat, Muslim brotherhood waliipa serikali shida kubwa sana mpaka kupelekea mauaji ya Sadat. Leo wako mamlakani lakini itawawia vigumu kubadilisha mfumo uliopo (secular). Sasa nakushauri ndugu yangu, unielimishe juu ya kile unachoona kitaleta muafaka katika suala hili la malalamiko ya Waislamu kwa sababu at the end of the day, we are condemned to live together.
 
Chuki binafsi haifai ee...tuiacheni jamani italeta tafarani...Twanga Pepeta waliimba.

MOU ziko nyingi sana..serikali na makampuni binafsi, serikali na taasisi za dini, serikali moja na serikali nyingine, makampuni binafsi wao kwa wao, makampuni na mtu binafsi.

Kama wanafaidi, ni sawa na ndio maana ya ujasiriamali. Mbona hata kampuni binafsi kama Mohamed Enterprise zinaingia MOU na serikali? Mfano halisi, kampuni hii imekuwa ikipewa tenda na serikali kuagiza vyakula.

Mwenzako akienda mbele, wewe umelala, ni uonevu kulazimisha arudi nyuma muanza pamoja. Makanisa yasingetoa elimu, kujenga mashule na mahospitali hapo awali nchi yetu ilipokuwa changa fursa za watanzania kusoma zingekuwa finyu.
 
Hivi vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya kikristo,kama kuna nilichosahu naomba wana jf muongezee hapo:
1. Saint Augustine University of Tanzania (SAUT)
2. Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCo)
3. Ruaha University College (RUCO)
4.Iringa University College (IUCO) 5 Makumira University College (MUCO)

6.Tumaini University - Dar es Salaam College (TUDARCo)
7.Saint Augustine University of Tanzania (SAUT)
8.Stella Maris Mtwara University College (SteMMUCo)
9.Archbishop Mihayo University College of Tanzania (AMUCTA)
10.Jordan University College (JUC)
11.Sebastian Kolowa University College (SEKUCO)
12.Mwenge University College of Education (MWUCE)
13.Saint Johns University of Tanzania (SJUT)
14.University of Arusha (UoA)
15.Teofilo Kisanji University (TEKU)
16.Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS)
17.St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)
18.Mount Meru University (MMU)
19.St. Joseph University in Tanzania (SJUIT)

Hvi ni vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya waislam,kama kuna nilichokiacha naomba wana jf muongezee
1.Muslim University of Morogoro (MUM)
2.Zanzibar University (ZU)
Nawaomba sana waislamu muache kulalamika:
a.Mnasema nyerere kawaonea,ameshakufa na hawezi kufufuka,jipangeni vizuri
b.Kighoma Malima mnaesema aliwatetea nae ameshakufa hawezi kufufuka tena,jipangeni vizuri,
c.Na wengineo wanaowapa sumu za hapa na pale kaeni nao mjipange mna hazina ya kutosha ya kuweza kuchangishana na kuongeza ufanisi kwenye Chuo chenu cha Morogogoro mfano Mh Bakhresa ni mmoja wa matajiri kumi barani afrika,Mohamedi Dewji na wengineo ongezeni matawi ya MUM mikoani na DSM pia,Msikalie kwenda kuomba kw matajiri hawa hasa Bakhresa hela za kwenda Kuhiji tu,na maendeleo pia mkaombe,TAMSA msiwe sehemu ya malalamiko tu,nyie kama vijana wasomi msiwe na mawazo kama ya PONDA yeye ameshamaliza enzi yake,elimu kakosa anaishia kufitinisha watu.
Huu ni ushauri tu!
Mungu ibariki Tanzania.
 
Ni akili mgando hizo.

*Kwani waislam wanakatazwa kuwa na 'MOU' na serikali.

*MOU haiko kwenye taasisi za kidini pekee na serikali, zipo taasisi nyingi za umma kama NHC, NSSF, NIC wana 'MOU' na taasisi binafsi ikiwemo miradi mbalimbali.

*Hivi unajua kuna miradi mingapi ya afya inayomilikiwa na kanisa, na faida yake kijamii? Wewe hukai kijijini na wala ukiugua hutibiwi kijijini, maana ungeyajua haya wala usingesema.

*Makanisa yalianzisha miradi hiyo kuhudumia jamii nzima pasipo kubagua mtu kwa misingi ya kidini.

Natamani sana kuona madhehebu ya kidini yakishindana kutoa huduma kwa jamii. Hebu fikiria tunakuwa na Kilimanjaro Muslim Medical Centre (KMMC) inashindana na Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC)
 
Unasahau kwamba serikali ilipotaka kujiunga na OIC wakatoliki walipiga sana kelele, kwani hujui kwamba yenyewe ingewasaidia kujengewa mashule, mahospitali na mengine kama biashara na kadhalika, hii ilionkena kuwa ingewaendeleza waislamu, na kwa sababu wenzetu upande wa pili wanapenda kuona sisi tukiwa nyuma siku zote basi ni kelele kwa kwenda mbele, HAYA NDIO SABABU KUBWA YA VURUGU HIZI ZINAZOTOKEA,! serikali ivunje hiyo MOU between wao na kanisa, au ikubali kujiunga na OIC kwamba na waislamu nao watakuwa na MoU yao!
 
hivi vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya kikristo,kama kuna nilichosahu naomba wana jf muongezee hapo:
1. Saint augustine university of tanzania (saut)
2. Stefano moshi memorial university college (smmuco)
3. Ruaha university college (ruco)
4.iringa university college (iuco) 5 makumira university college (muco)

6.tumaini university - dar es salaam college (tudarco)
7.saint augustine university of tanzania (saut)
8.stella maris mtwara university college (stemmuco)
9.archbishop mihayo university college of tanzania (amucta)
10.jordan university college (juc)
11.sebastian kolowa university college (sekuco)
12.mwenge university college of education (mwuce)
13.saint johns university of tanzania (sjut)
14.university of arusha (uoa)
15.teofilo kisanji university (teku)
16.catholic university of health and allied sciences (cuhas)
17.st. Francis university college of health and allied sciences (sfuchas)
18.mount meru university (mmu)
19.st. Joseph university in tanzania (sjuit)

hvi ni vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi vya waislam,kama kuna nilichokiacha naomba wana jf muongezee
1.muslim university of morogoro (mum)
2.zanzibar university (zu)
nawaomba sana waislamu muache kulalamika:
a.mnasema nyerere kawaonea,ameshakufa na hawezi kufufuka,jipangeni vizuri
b.kighoma malima mnaesema aliwatetea nae ameshakufa hawezi kufufuka tena,jipangeni vizuri,
c.na wengineo wanaowapa sumu za hapa na pale kaeni nao mjipange mna hazina ya kutosha ya kuweza kuchangishana na kuongeza ufanisi kwenye chuo chenu cha morogogoro mfano mh bakhresa ni mmoja wa matajiri kumi barani afrika,mohamedi dewji na wengineo ongezeni matawi ya mum mikoani na dsm pia,msikalie kwenda kuomba kw matajiri hawa hasa bakhresa hela za kwenda kuhiji tu,na maendeleo pia mkaombe,tamsa msiwe sehemu ya malalamiko tu,nyie kama vijana wasomi msiwe na mawazo kama ya ponda yeye ameshamaliza enzi yake,elimu kakosa anaishia kufitinisha watu.
Huu ni ushauri tu!
Mungu ibariki tanzania.

nyerere ndio aloanzisha yote haya! Kakaanga mbuyu sasa watu wanatafuna !
 
Natamani sana kuona madhehebu ya kidini yakishindana kutoa huduma kwa jamii. Hebu fikiria tunakuwa na Kilimanjaro Muslim Medical Centre (KMMC) inashindana na Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC)

udini; aliokataza nyerere
 
Naanza kuyatafakari maneno ya "professor" J anasema katika wimbo wake kwamba aliye juu mgoje chini na utasubiri milele. Sasa kama wakristo wamekuwa wabunifu wakawa na MOU nyie mmekatazwa? Acha wivu wa kike nyie!!!
 
Unasahau kwamba serikali ilipotaka kujiunga na OIC wakatoliki walipiga sana kelele, kwani hujui kwamba yenyewe ingewasaidia kujengewa mashule, mahospitali na mengine kama biashara na kadhalika, hii ilionkena kuwa ingewaendeleza waislamu, na kwa sababu wenzetu upande wa pili wanapenda kuona sisi tukiwa nyuma siku zote basi ni kelele kwa kwenda mbele, HAYA NDIO SABABU KUBWA YA VURUGU HIZI ZINAZOTOKEA,! serikali ivunje hiyo MOU between wao na kanisa, au ikubali kujiunga na OIC kwamba na waislamu nao watakuwa na MoU yao!
Wenzenu wanaitisha harambee kuchangisha fedha za kuanzisha miradi ya maendeleo nyie mnasubiri OIC iwaletee vya bure.
 
ACHAUJINGA WEWE. FANYA UTAFUTI KWANZA. HATA MTU BINAFSI AKIANZISHA SHULE ALIPI KODI. USIKULUPUKE HATA KAMA NDIYO HUNA ELIMU. KUTOKUWA NA ELIMU SIYO KIGEZO CHA KUKURUPUKA.:A S tongue:
 
Huna akili kabisa wewe tatizo ndo maana tunaambiwa hatuna shule; huduma za jamii za kwetu zipo wap?we shoga nini; gadafi badala ya kujenga university yetu kajenga msikiti dodoma hapo utasemaje?i
Kutokana na kulalamikiwa saana na Waislaam kuwa Makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa (MOU) yanafanya nchi hii iwe na "Mfumo Kristo" na hivyo kuwanyanyasa Waislaam na hata kuwatawala, inabidi ifike wakati Makanisa yaanze kufikiria jinsi ya kuvunja mkataba huo na kurudi kama ilivyokuwa zamani.

Kwa sababu hili swala limeonakana likichochea sana vurugu, mie napendekeza lifuatalo:

- Wavunje mkataba wa MOU na Serikali.

-Waislaam wawe wanalipia gharama kwa bei ya kawaida ya kutibiwa kwenye Mahospital ya Kanisa.

-Waislaam wawe wanalipia gharama kwa bei ya kawaida ya kusomeshwa kwenye Mashule ya Kanisa nk.

-Makanisa na vitengo vyake, viwe vinalipa kodi kwa kufanya biashara ya Hospitals, Shule nk.

-Gharama kwa walio Wakristo, ziwe zinapunguzwa kwa wingi kwa sababu wao hutoa michango mingi tu ya kuendeleza kanisa na sadaka za kila Jumapili.

-Kwa wasio Wakristo na hapo wanapoishi hakuna hospital ya Serikali au ya dini yao, basi itabidi wailazimishe Serikali MPYA ya Tanzania ambayo haitakuwa na Mfumo Kristo tena ili wawajengee Hospitals za Serikali.

Kama Serikali ikishindwa basi wajiandae kulipa gharama kubwa kwenye huduma hizo za jamii au KUBADILI DINI. Kama siyo hilo basi na wao na dini zao wajenge hizo huduma za jamii ili kushindana na za Makanisa.

Nafikiri muda umefika wa kuonyesha kuwa Viongozi wa Makanisa ni Wasomi wa hali ya juu na siku zote "Akili kubwa hutawala akili ndogo......" Vinginevyo, akili zao zitakuwa kazi bure kama hawawezi kutatua matatizo yaliyowazunguka.

Kama kuna kundi jingine au Serikali litakuja na mbinu mbadala na kuweka huduma hizi za jamii katika bei nafuu zaidi, basi ina maana huduma za jamii kutoka kwenye Makanisa tutakuwa hatuhitaji tena. Maendeleo yanakuja kwa mashindano. Muda umefika Makanisa kutangaza mashindano kwa kutoa huduma za JAMII VS dini nyingine au Serikali.

NB: Nashukuru MOD(s) uliyeongeza Maneno hayo chini. Yatasaidia kupunguza kutokuelewana. Thanks again.

**************
Usichangie hoja hii kwa kuirukia, isome na uelewe context

Kwa wageni; Soma hii - MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
 
Back
Top Bottom