Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Ngoja niicopy hii kitu itanisaidia siku za usoni kumbe jamaa wanachukuwa pesa nyingi hivyo zote hizo ni kodi zetu.

Ritz,

Hakika wenzenu wanajitoa fahamu kwa hilo na kujifanya hawajui hisabu basi muwaulize hata kuhisabu hamjui.

Kama Mou Hiyo ingetumika Serikalini mpaka sasa 20 Yrs mngekuwa na hospital kubwa za level ya wilaya (kama Amana au Mwananyamala) 20 ambazo zingetapakaa nchi yenu yote na vyuo vikuu 20 ambavyo vingekuwa karibu mikoa yenu yote. Kwani kwa upande wa Serikali ya JMTz ingewatumia wataalamu wale wanaofanya kazi kwa sasa katika hospital za kanisa na vifaa vile wanavyowekeza katika hospital hizo. Nina imani hospital za kanisa nyingi zingekufa kifo cha mende.
Kumbuka KANISA LIMEWEKEZA KATIKA MAJENGO YA HOSPITAL lakin sio kwa WATAALAMU, VIFAA VYA HOSPITAL NA MADAWA. kwani vyote hivyo kwa sasa wanapata toka Serikalini.

ndio maana nikafafanua kuwa kama mngetumia Pesa mnazolipa katika MoU yenu saa hizi mngekuwa na Mahospital mengi sana kwa level kama ya Mwananyamala au Amana na WANGECHUKULIWA WALE MADAKTARI NA KUINGIA KWENYE HOSPITAL HIZO NA HILO PASI NA SHAKA YOYOTE HOSPITAL HIZO ZA KANIS ZINGEKUFA KIFO CHA MENDE. Kwani sifikirii kama zingeweza kujiendesha kibiashara kama ilvyo Agha Khan au Ibrahim hadji.

Kumbuka Hospital sio majengo bali ni wataalamu, vifaa na madawa.

barubaru hapo kwenye bold;zikitolewa mishen hizo hela na kupelekwa serikalini zitafanyiwa ufisadi na hautapata huduma kama unazopata kwenye hospitali za mishen na kumbuka hizi hospitali hazijiendeshi entirely kwa kutegemea hela za serikali...get that tu your head
 
quote_icon.png
By jakamoyo

makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.

Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.
Kama kuna ukweli wa kunufaika hebu weka takwimu hapa sio kusema yamenufaika bila takwimu zozote. Waislamu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa makanisa yananufaika lakini ukiwauliza kama wana takwimu utagundua ni kelele tu.

Nikupe mfano:- Hospitali ya KCMC ni hospitali ya rufaa inaendeshwa kwa ubia kati ya serikali na Kanisa (Serikali hulipa baadhi ya mishahara ya madaktari na wauguzi), gharama za huduma zimepunguzwa kiasi kwamba mwananchi aweze kuzimudu kwakuwa kuna mchango wa serikali, lakini ukiangalia mzigo wa Kanisa katika kuibeba hospitali ni mkubwa, kila mwezi inabidi watafute fedha za ziada kumudu gharama za uendeshaji. Makusanyo kwa mwezi si zaidi ya 150mil lakini matumizi kwa mwezi ni zaidi ya 200mil, hapo umetoa madaktari na wauguzi wanaolipwa na serikali. Kama Serikali ikijitoa yawezekana wewe ukamudu gharama maana zitapanda sana lakini unao ndugu na jamaa ambao kwa hakika hata sasa wanajikongoja kumudu hizo gharama sasa sijui mnufaikaji ni yupi kati ya Kanisa na wapokea huduma..

Tafakari chukua hatua...
 
Ritz,

Hakika wenzenu wanajitoa fahamu kwa hilo na kujifanya hawajui hisabu basi muwaulize hata kuhisabu hamjui.

Kama Mou Hiyo ingetumika Serikalini mpaka sasa 20 Yrs mngekuwa na hospital kubwa za level ya wilaya (kama Amana au Mwananyamala) 20 ambazo zingetapakaa nchi yenu yote na vyuo vikuu 20 ambavyo vingekuwa karibu mikoa yenu yote. Kwani kwa upande wa Serikali ya JMTz ingewatumia wataalamu wale wanaofanya kazi kwa sasa katika hospital za kanisa na vifaa vile wanavyowekeza katika hospital hizo. Nina imani hospital za kanisa nyingi zingekufa kifo cha mende.
Kumbuka KANISA LIMEWEKEZA KATIKA MAJENGO YA HOSPITAL lakin sio kwa WATAALAMU, VIFAA VYA HOSPITAL NA MADAWA. kwani vyote hivyo kwa sasa wanapata toka Serikalini.

hivi kweli waislam wameshindwa kuanzisha MOU yao?
 
Sikonge,

Awali ya yote nimefurahi sana kumtaja Cousin wangu Hemed Nassor. nakuomba sana mpe salam sana.
Kifupi naifahamu sana Sikonge na hata mwaka huu July nilipokuja nilifika mpaka huko.

Sasa katika mas'ala yako yana sehemu mbili.
1. Kuhusu Kutoa misaada sehemu hiyo. Hilo nitakujibu kuwa moja ya maeneo tuliokuwa tunazungumza na Dr Abdallah Kigoda ni kuhusu mkoa wa Tabora. Tumeichambua kwa kina sana Tabora ikiwemo na kuonyesha mapunguvu yenu katika Sera za Uwekezaji na vile vile urasimu ndani yya TIC. Lakin all in all kwa tabora tumeainisha mambo makuu matatu. Kwanza Serikali ihakikisha inatengeneza barabara zote za tabora na vile vile kuwe na ufafiri wa uhakika wa Reli. Lakin vile suala la nishati ya umeme ni muhimu sana kuwepo kwani KUNA WENGI WANATAKA KUJA HUKO KUFUNGUA VIWANDA VYA KULINA NA KUFUNGASHA ASALI. Pitia taarifa ya Dr Kigoda na wafanyabiashara wa Oman.

Lakin suala la pili. Mimi naamini uwekezaji mkubwa ni kuwa na rasilimali watu ambao wamesheheni ilmu na kuwa na vitendea kazi bora. UNAJUA KANISA halijawekeza katika HOSPITAL bali limewekeza katika majengo ya hospital. Kwani wataalamu takriban wote wanalipwa na ni waajiriwa wa Serikali na wanalipwa na Serikali. vifaa vya hospital na madawa yote yanatoka MSD ambayo ni ya Serikali. Ukiondoa Admin ya hospital.

ndio maana nikafafanua kuwa kama mngetumia Pesa mnazolipa katika MoU yenu saa hizi mngekuwa na Mahospital mengi sana kwa level kama ya Mwananyamala au Amana na WANGECHUKULIWA WALE MADAKTARI NA KUINGIA KWENYE HOSPITAL HIZO NA HILO PASI NA SHAKA YOYOTE HOSPITAL HIZO ZA KANIS ZINGEKUFA KIFO CHA MENDE. Kwani sifikirii kama zingeweza kujiendesha kibiashara kama ilvyo Agha Khan au Ibrahim hadji.

Kumbuka Hospital sio majengo bali ni wataalamu, vifaa na madawa.

Ni kweli kabisa wataalamu na madawa, nadhani inabidi muhimize serikali ifanye hayo basi

Niliwahi kuingia kwenye kikao cha bunge cha kamati za huduma za jamii kama mualikwa wakati wa uboreshaji wa mifumo ya majengo ...nilishtuka kugundua mpaka mahospitali makubwa kama Agakhan yanapata ruzuku ili yashushe bei ya dawa

Ifike mahali tukubaliane bila kusema hospitals zitakufa kifo cha mende just because ni za kanisa ....tukubali pale ambapo serikali haijafika na kanisa au msikiti umefika na kujenga hospitali kama Ndanda na kwingineko ni vizuri
Pale adjucent (sp) na kwa Kakobe kuna hospitali ya wakatoliki, haijafa kifo cha mende na inahudumia watanzania wote na haiko kwenye MoU

Tusibadili msaada kuwa kebehi, langu ni hilo, esp now that barubaru huu ni muda wa hija, jipangeni kupinga mifumo ya unyanyasaji kwa hoja kama hivi ila si kwa kebehi
 
Nsiande,

Unajua kuwa unapoandika jambo lolote hapa unatakiwa uwe na hakika nalo.

Nilipo BLUE.

Aga khan haipati ruzuku kutoka Serikalini zaidi ya msamaha wa kodi wakti wakipitisha vifaa vyao va hospital. Kumbuka kuwa madaktari wote, wauguzi wote na wafanyakazi wengine wote ni waajiriwa na wanalipwa mishahara yao na The Aga Khan foundation na SIO Serikali a JMTz.

Na hata ukipiti bajeti zote za Wizara ya Afya na hakuna kipengele chochote kinacho onyesha kuna ruzuku kwenye hospital hiyo. Labda nimeona kuna ruzuku kwenye baadhi ya madawa kama yale ya kutibu Vichaa, kansa na HIV/AIDs ambao kama wananunua Serikali inagharamia na kutoa punguzo kwayo.

nafikiri kwenye semina hiyo ulikwenda kuchukua pesa na sio kujifunza.

Pole sana

Milango yote imefungwa kwa sasa isipokuwa mmoja tu ndio umebaki,tusipokuwa makini na mambo haya hakika mabeberu watapata wanachokiitaji na hata siku moja hakuna mtu kati yetu atayethubutu kusema kuhusiana na rasilimali zetu na hata akisema tayari anakuwa ukimbizini.

Tukumbuke siku zote mizozo ya kidini uchochea vita na hata vita vikiisha amali ya jamii hutoweka. Cha msingi hapa ni kuwa kila dini ifanye mambo yake yenyewe pasipo msaada wowote kutoka serikalini na taasisi hizo kupitia kwa waumini wao wajenge tabia ya kuhoji mapato na matumizi ya taasisi zao.

Kwa upande wa serikali sheria itumike sasa kutokuongeza/kusajili taasisi ingine ya kidini kwani zilizopo tu zimeshindwa wajibu wao kama mlezi wa amani na utulivu wa nchi na badala yake zimekubali kutumika kisiasa na kibepari zaidi.

Haingii akilini hata siku moja wale wanaohubiri roho za watu zisipate dhambi ili ile siku ya mwisho/kiama zipate heri eti ndio wanageuzwa kuwa njia ya kuleta maasi hii ni hatari sana.
 
Sikonge,
Ningependa kukunga mkono lakini believe me, hata kama MOU itavunjwa, wenzetu watakuja na malalamiko mengine kabisa.
Ukisikia wanalalamikia "mfumo kristo" ujue there is more than just MOU. Utakuja kuniambia siku moja.

Kuna siku watalalamika kuwa shule za wakatoliki/wakristo zinafaulisha sana na kudai zifeli!!! We`subiri
 
Usiende huko!
Mahospitali,Makanisa,Shule vilivyojengwa na Mkoloni kwa hela ya Watanganyika wa dini zote viliachiwa Wakristo waendelee kuvimiliki baada ya Uhuru, ..........

....Toa mifano halisi/facts pia ili hoja iwe na nguvu........
 
Hii ni hoja nyeti. Naomba mambo yafuatayo:
1. Mwenye nakala ya hiyo MoU aiweke hapa jamvini ili Great Thinkers waudadisi kwa maslahi ya umma.
2. Naomba kujulishwa ni Serikali ya awamu ipi iliingia hiyo MoU na kanisa.

Nawasilisha Wakuu.
 
Mkuu Barubaru,

Leo Ijumaa, kusema maneno yanayopishana na UKWELI kwa mtu kama wewe si vizuri. Sidhani kama Allah anapenda hilo.

Nitakuambia tena na tena, SIKONGE Hospital ya Wamoravian, hawalipwi hata senti tano na Serikali kwa siku nyingi. Hata madawa kwa sasa wanatumia yanayotolewa nje ya nchi. Sanasana kwa yale magonjwa hatari kama Ukimwi, Ukoma nk

Ukitaka naweza kukupa simu ya Kiongozi mkubwa tu wa Hospitals na atakupa maelezo yake yote kuhusu ugumu wanaoupata kwa kutokupewa pesa na Serikali. Najua una fahamiana na watu wengi hapa TZ, basi waulize kwa mwaka huu tu wameshapeleka SHILINGI ngapi Sikonge Hospitals?

Pana wakati walikuwa na deni kubwa sana la mafuta kutoka kwa Hemmed Nassor na ikabidi tu wamlipe kwa kumpa gari ambayo ilikuwa imeletwa kama msaada. Enzi hizo hata umeme hakuna na inabidi wawashe Generator kama wanataka kufanya upasuaji wa mtu yeyote bila kujali ni nani.

Leo nasikia eti WANATAJIRIKA. Fanya homework yako tena. Vinginevyo utasikia hata ndugu zako wa SIkonge wanabadili dini ili waweze kutibiwa. Sidhani kama utaweza kuwasaidia wote kwa matibabu maana kifamilia kikubwa sana..
Sikonge,

Awali ya yote nimefurahi sana kumtaja Cousin wangu Hemed Nassor. nakuomba sana mpe salam sana.
Kifupi naifahamu sana Sikonge na hata mwaka huu July nilipokuja nilifika mpaka huko.
Lakin suala la pili. Mimi naamini uwekezaji mkubwa ni kuwa na rasilimali watu ambao wamesheheni ilmu na kuwa na vitendea kazi bora. UNAJUA KANISA halijawekeza katika HOSPITAL bali limewekeza katika majengo ya hospital. Kwani wataalamu takriban wote wanalipwa na ni waajiriwa wa Serikali na wanalipwa na Serikali. vifaa vya hospital na madawa yote yanatoka MSD ambayo ni ya Serikali. Ukiondoa Admin ya hospital.

Imani hunawilisha moyo, elimu hunawikisha akili. Ni vyema sana kuwa na vyote, maana Imani pasipo elimu ni kuwa na moyo dhabiti pasipo akili.
 
Barubaru,

Mimi ningekushauri kuwa ushauri huu uutoe serikalini ili itekeleze nawe ushuhudie kama hizo hospitali na shule za kikristo zitakufa au zitashamiri na sio kulalamika humu JF wakati hakuna msaada zaidi ya maoni tu, chukua hatua.

Kwa uelewa wangu ni kuwa hata kihistoria wakoloni kupititia wamisionari waliwekeza katika uchumi kwa maana, elimu na huduma za kiroho na jamii lakini waarabu waliwekeza katika biashara ya watumwa na kueneza dini, hata hivyo sisi tulioletewa dini hizi tunaakaa kugombana na kutukanana wakati hao waarabu wametulia na kutusikiliza tu na hao waliokuwa wakoloni wetu nao wakitusikiliza tu tunavyohangaika kugombana.

Fikiria ni viongozi wangapi wanaotibiwa na hata angalao hospitali ya Taifa ya Muhimbili au hata hizo hospitali zinazolalamikiwa zaidi ya mimi na wewe? ukijiuliza shule je, watoto wao wangapi wanaosoma shule hizo tunalalamikia kuingia MOU na wakristo? Kimsingi ingekuwa vema zaidi ndugu zangu tungejadili namna tunavyoweza kuondokana na mambo haya tunayoona ni kero tukikaa pamoja kama ndugu.

Unaweza ukakuta hata mleta mada huenda ama kwa namna moja au nyingine amenufaika na MOU anayolalamikia nami nina mifano ya watu walionufaika kwa namna moja au nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Nsiande,

Unajua kuwa unapoandika jambo lolote hapa unatakiwa uwe na hakika nalo.

Nilipo BLUE.

Aga khan haipati ruzuku kutoka Serikalini zaidi ya msamaha wa kodi wakti wakipitisha vifaa vyao va hospital. Kumbuka kuwa madaktari wote, wauguzi wote na wafanyakazi wengine wote ni waajiriwa na wanalipwa mishahara yao na The Aga Khan foundation na SIO Serikali a JMTz.

Na hata ukipiti bajeti zote za Wizara ya Afya na hakuna kipengele chochote kinacho onyesha kuna ruzuku kwenye hospital hiyo. Labda nimeona kuna ruzuku kwenye baadhi ya madawa kama yale ya kutibu Vichaa, kansa na HIV/AIDs ambao kama wananunua Serikali inagharamia na kutoa punguzo kwayo.

nafikiri kwenye semina hiyo ulikwenda kuchukua pesa na sio kujifunza.

Pole sana

Dear Barubaru

niliattend kikao kwa mualiko rasmi kama mtaalamu mshauri, hivyo ni haki yangu kupokea bahasha baada ya kutoa utaalamu husika;

tukirudi kwenye pole yako kwangu kuwa sio ruzuku bali ni msamaha wa kodi, naomba nikupinge tena na kukurudishia weye pole yako, ni kuwa kwa sasa private hospitals zinapokea government cash ili kusaidia kuboresha huduma ya afya pamoja na kutoa unafuu

nanukuu:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Now private hospitals to receive govt cash [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Friday, 11 November 2011 22:26 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

nyoni-blandina-wiafya.jpg
Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.

By Songa wa Songa
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. In what has been described by observers as a major policy shift, the State will soon start allocating substantial amounts of money to private hospitals to facilitate more and better health service delivery in disadvantaged rural communities.

It has emerged that the government and donors have reached an agreement to channel half of the Sh168 billion in health budget support funds directly to public and private hospitals at the grassroots.

According to the government and the donors, this is a deliberate move to drive quick health delivery results through local councils throughout the country.Areas targeted include those that are highly disadvantaged, it was revealed yesterday by the ministry of Health and Social Welfare.

The donors who are expected to contribute some Sh168 billion this financial year noted that the new cash injection system would expand access and quick health service.

Through the initiative, about half of the funding or Sh81 billion will be channeled directly to local government authorities. This amount will go into financing front line health services in both private and public institutions.
The move to directly channel health funds to the councils would be welcome news following widespread complaints of embezzlements by the many layers of State bureaucracy. "

asante Barubaru, ni kwania njema serikali inafanya ifanyayo kupitia wafadhili wakuu ambao ni global fund ( muungano wa nchi zinazokubali ushoga , nchi zenye mfumo kristo tena wa kanisa katoliki etc...) ili kunufaisha jamii ya watanzania kwa umoja wao wa kiislamu, kikristu na kipagani...
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.

Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.

Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.

Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.

Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.

Issue siyo MOU hii dini yenu ni kizungumukuti duniani kote. Hata mataifa ambayo karibia watu wote ni wafuasi wa hii dini hawaelewani kabisaa na ndizo nchi zinazoongoza kwa vurugu. Hapa kwetu, hakika hamna budi kushukuru sana hao mnaowaita makafiri kwa namna nyingine ndiyo wanasaidia muonekane wastaarabu kiasi. Vinginevyo mungekuwa mshamalizana. Hivi anayekukataza wewe kujiunga na hiyo MOU ni nani? Hacha kutetea ujinga ndugu yangu au shule yako ndogo? Sijui mkoje? mnakaa tu kazi kulalamikia wale wanaofanya kazi za kujiletea maendeleo, njaa ikiwazidia mnahamua kuvunja na kuiba hadi makanisani!! hakika laana iwe juu yenu manaofanya haya mambo ya kishetani
 
Sikonge

Social service ni kazi na jukumu la serikali kama katiba inavyoweka wazi.

Mawazo yako yapo zaidi kuligawa taifa kuliko kuliunganisha. Kama ni misamaha ya kodi ni kwa taasisi yoyote ya dini kilichopo ni kuwa wakristo wana taasisi nyingi kuliko waislamu na sio sababu. Kama tatizo ni ardhi basi walisovu hilo.

Kuhusu kodi sidhani kama ni sahihi kusema makanisa yananufaika. a kama kuna evidence kuwa huduma ni kwa kigezo cha dini then hilo ni kosa

Na bado siamini fujo hizi ni za Muislamu wa kweli. Hawa wanaoleta fujo hawana tofauti na Taleban wa liomjeruhi binti wa miaka 14 kwa kuhamasisha kusom
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Hakika wenzenu wanajitoa fahamu kwa hilo na kujifanya hawajui hisabu basi muwaulize hata kuhisabu hamjui.

Kama Mou Hiyo ingetumika Serikalini mpaka sasa 20 Yrs mngekuwa na hospital kubwa za level ya wilaya (kama Amana au Mwananyamala) 20 ambazo zingetapakaa nchi yenu yote na vyuo vikuu 20 ambavyo vingekuwa karibu mikoa yenu yote. Kwani kwa upande wa Serikali ya JMTz ingewatumia wataalamu wale wanaofanya kazi kwa sasa katika hospital za kanisa na vifaa vile wanavyowekeza katika hospital hizo. Nina imani hospital za kanisa nyingi zingekufa kifo cha mende.
Kumbuka KANISA LIMEWEKEZA KATIKA MAJENGO YA HOSPITAL lakin sio kwa WATAALAMU, VIFAA VYA HOSPITAL NA MADAWA. kwani vyote hivyo kwa sasa wanapata toka Serikalini.

Barubaru,
Pesa nyingi sana wanapewa na serikali, halafu kuna mtu analeta hadithi za kitindiga eti hospital ya sikonge wanatibiwa bure inahusu.
 
Last edited by a moderator:
Sikonge,
Ningependa kukunga mkono lakini believe me, hata kama MOU itavunjwa, wenzetu watakuja na malalamiko mengine kabisa.
Ukisikia wanalalamikia "mfumo kristo" ujue there is more than just MOU. Utakuja kuniambia siku moja.
Yeah,Umenena. Wakati wa sikukuu ya Eid,Rais kikwete alipohutubia Baraza la Eid,aliwambia Waislam hii, '"mMESHINDWA NINI KUINGIA MOU NA SERIKALI"? Kwa ufupi,mfumo Kristo siyo dai dhahili la Waislam. Kuna zaidi!!
 
Back
Top Bottom