Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

Utampendaje wakati unamkera ,au hamjui kuwa kuna watu wanakereka na hayo mamuziki makubwa na sauti kubwa??

Mie nakereka na yale matangazo ya operesheni kata umeme ohh mara acha risiti nymbani nadhani nayo yanatakiwa yapigwe marufuku kabisaaaaa
 
Shika adabu yako wewee...msikitini hakuna kelele...
Mkuu adhana ya asubuh, tunawaamsha wasiohusika.

"hiv sasa ni 10kamili, swalaaswalaaa, amken mkaswali , swali kabla hujaswaliwa swalaa"

Halafu baada ya dk5 inarudiwa tena. Wanarudia zaidi ya mara 20.
 
Mie nakereka na yale matangazo ya operesheni kata umeme ohh mara acha risiti nymbani nadhani nayo yanatakiwa yapigwe marufuku kabisaaaaa
Ila hayo mkuu ni ya mchana kuna yale ya usiku.....hadi kero watoto hawalali
 
kuabudu ndo kelele?????
aya ndugu endelea na mawazo yako
Hata yesu alipotaka kumuomba Mungu alienda faragha ......na sijawah ona sehem yesu akiwa anakesha kwa.kupiga mziki mkubwa na kucheza kiduku ....kanisani usiku
 
😱😱...😵...Narudia, bora uishi jirani na baa!
 
Hapa mtaani kwetu tunajitahidi tu kuwavumilia lakini asiwaambie mtu-- kama issue ni kelele basi ni bora uishi jirani na baa kuliko makanisa ya Walokole! Hapa kwetu kwa mfano... kila wiki wanakesha cku tatu... cna haja ya kuwakumbusha sauti za vinanda vyao! Ikifika Jumapili, ni kuanzia asubuhi hadi jioni-- yaani kitu kinachoitwa kupumzika weekend hakipo kabisa! Narudia, bora uishi jirani na baa!
 
Wote watumbuliwe hakuna namna ,ila kher hao wa,asubuhi ni dakika tano tu ..ila wa kukesha na kulia usiku mzima na,ni kila kona....hadi kero
kwahiyo mkuu hutaki tukeshe na tukilia mbele za MUNGU WETU???????
 
Mkuu adhana ya asubuh, tunawaamsha wasiohusika.

"hiv sasa ni 10kamili, swalaaswalaaa, amken mkaswali , swali kabla hujaswaliwa swalaa"

Halafu baada ya dk5 inarudiwa tena.
Tuache unafiki adhana ni dakika tano tu...kuna haya makanisa ni usiku mzima halafu mkesha unaanza sanne usiku mpaka saa kumi nambili asubuhi ni kelele mtindo mmoja ..halafu unakuta makanisa yapo sehem moja matatu ...yaani utachoka
 
Hapo ndo nakuona sio great thinker.....ww unaona nimetafsiri vibaya .....ila ww una macho ya kibinadam ....kuabud kwa makelele kunatoka wap .....huyo Mungu yupi unaye mwabudu ambaye hasikii mpaka upige kelele usiku mzima ..... wanamuabudu Mungu kwa roho na kwel sio wapiga makelele Mungu hupenda watu wanynyekevu na sio mafarisayo wanaotaka waonekane wanakaa pembezoni mwa barabara ili waonekane wanasali....
wee jamaa ,.nani anaebudu kwa kelele???????
hii dunia kweli imefika mwsho..unapinga neno la Mungu lisihibiliwe?????????
muogope Mungu kijana acha kiburi cha uzima
 
Kuhubiri neno bila utaratibu ndo nn ?? kama ingekuwa nikuhubir neno tu hata watu wasifanye kazi ingekuwaje...?? siwez kudharau makanisa ya walokole ....na umesema ww..ila nawaelekeza...na sio walokole tu ni makanisa yote ....fanyeni kila kitu kwa kiasi acheni kujidai mnahubiri neno bila kujali kuwa kunawenzenu mnawakwaza...hata bilbla inatamka kuwa kabla hujaenda kutoa sadaka patana namjoli wako kwanza...ndo hivyo mtu yupo kitandani hoi....inapikwa nyimbo ya nibebe ya rose mhando watu wanacheza kiduku.....mgonjwa halali hiv kwel Mungu atapokea hayo maombi yako ?!
we mkuu unajielewa kweli?????
kuhubiri neno bila utaratibu utaratibu gani unaousema hapo???????
kuwa tuwasikize watu kma wanataka neno au haawataki?????????
injili na isonge mbele naona shetani anawatumia nyie na huyo kiongozi pia maana ni binadamu pia
 
huwezi kuzuia noise pollusion eti uniambie nisiabudu na kumsifu Mungu wangu never and never happen........
aisee nampenda Mungu wangu kuliko jambo lolote
mbona marusha roho zinapigwa usiku kucha hamsemi????
minanda inapigwa buguruni hadi buza unasikika,usiku kucha,hamsemi?????
maklabu yanakesha hamsemi???????
mpira taifa weatu wanapiga kelele hamsemi??????
mabanda ya games playstations zinakesha vijana wakipa kelele hamsemi?????
mabanda ya dstv yanapiga kelele hamsemi????????
midundiko inap[iga kelele uswahilini hamsemi??????
magari yanapiga kelele hamsemi???????
ila leo kanisa la kweli wakiwa wanamwomba MUNGU wao hamtaki.....
jichunguze ndugu yangu,.unasema wewe ni mtetezi wa wawanyonge kwa kuzuia neno la MUNGU sio kitu kizuri
mkuu niumekuwa nikikufatilia sana post zako.......
hawa watu wa kizazi hiki wapo mbali kabisa na Mungu
hawapendi kusikia habari za Mungu kabisa,.mioyoni mwao inaonyesha kumejaa mawazo mabaya
wakisikia ukweli mioyo inawachoma sana,.thats why wanapinga neno la Mungu
 
Utampendaje wakati unamkera ,au hamjui kuwa kuna watu wanakereka na hayo mamuziki makubwa na sauti kubwa??
neno la MUNGU huwa alipendwi na binadamu,.ila uwe Mungu amekuchagua,kijana muogope MUNGUUzima uunamwisho huo
 
angalia picha yako(avatar)hiko ndicho kilichoujaza moyo wako,.......
hapo ukisikia neno la MUNGU lazma likuchome,.na shetani alivyojaza moyo wako lazima upinge neno la MUNGU ili uwe huru na mambo ya ulimwengu,.maana hutaki kubadilika
unataka nibalike niwe vipi?niwe mtia kelele na mkera jamii kama nyie,.nilishaambiwa na kufundishwa namna ya kusali,nilionywa nisiwe mnafika ambao mnataka kila mtu ajue kuwa mko kwenye ibada,hata yesu mwenyewe alishawakataa nyie
 
Mndorwe muogope Mungu,sisi hatupigi kelele ila tunamwabudu Mungu.Noise pollution ni makelele yasiyo na mpangilio na yasiyo na umhimu wowote kuwepo.Sisi tunapiga mziki laini wenye staha,ambao hata wewe unaupenda.Hivyo usiwe agent wa shetani hapa jukwaani.Tuna macho na tumeona what is behind of RC speech.
 
wee jamaa ,.nani anaebudu kwa kelele???????
hii dunia kweli imefika mwsho..unapinga neno la Mungu lisihibiliwe?????????
muogope Mungu kijana acha kiburi cha uzima
Unajuaje mm ni kijana....acha kunihukumu kuna kelele kwel miziki had hatulalali huku mtaana ....wapigakelele mnaona sawa ila sis tunapata shida hatulali kama mnamuabudu Mungu kwel badala ya kugawanyika unganeni makanisa yote ya karibu mfanye pamoja ibada ili mpunguze anaglau kelele
 
Back
Top Bottom