Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

unataka nibalike niwe vipi?niwe mtia kelele na mkera jamii kama nyie,.nilishaambiwa na kufundishwa namna ya kusali,nilionywa nisiwe mnafika ambao mnataka kila mtu ajue kuwa mko kwenye ibada,hata yesu mwenyewe alishawakataa nyie
nani mnafiki?unajua maana ya kelele,.naona mnapinga injili isihubiliwe?
 
neno la MUNGU huwa alipendwi na binadamu,.ila uwe Mungu amekuchagua,kijana muogope MUNGUUzima uunamwisho huo
Acheni kumta Mungu bure.... iko waz hii kelele usiku wa manane ,,,,kama vile mungu wenu ni kiziwi ,,,,
 
Unajuaje mm ni kijana....acha kunihukumu kuna kelele kwel miziki had hatulalali huku mtaana ....wapigakelele mnaona sawa ila sis tunapata shida hatulali kama mnamuabudu Mungu kwel badala ya kugawanyika unganeni makanisa yote ya karibu mfanye pamoja ibada ili mpunguze anaglau kelele
wewe shida yako ni makanisa yaungane au tuache kufanya ibada na spika?tukiwa na vyombo?
 
Acheni kumta Mungu bure.... iko waz hii kelele usiku wa manane ,,,,kama vile mungu wenu ni kiziwi ,,,,
kwahiyo tusali mpaka saangapi?hutaki tukeshe sio?ila vigodoro vikikesha ni sahihi?hii ni dalili kuwa hamtaki injili,mkuu kma unania ya kupinga injili bas unafail,neno la Mungu halipingwi kwa namna yoyote ile ukipingana na Mungu impact yake ni mbaya sana
 
Hivyo sisi wakristo tutamwambia huyo anayewapa pumzi.Jinsi mnavyohangaika kukwamisha injili.Makanisa Yetu mengi yanachomwa moto huwa tunasamehe.wameona bado tunasonga mbele,wameamua kujificha kwenye noise polluton.Kelele wanafanya walevi baa na madisko yakipuuzi kila kona.Tunaye anayeweza kushughulika na watu wa jinsi hii.
 
wewe shida yako ni makanisa yaungane au tuache kufanya ibada na spika?tukiwa na vyombo?
Shida ni kelele sheria zifuatwe bar pamoja ,na makanisa usiku wasipige kelele au waweke sound proof ...tatizo sio kuabudu abuduni ila msiwe kero kwa wasio waumini wenu hiyo ni rahis
 
Acheni kumta Mungu bure
kwani apa nimetaja bure jina la Mungu?nakuelimisha mkuu usiwe na moyo wa kumkataa Mungu na Maandiko yake.hii dunia inapita mkuu,mrudie Mungu uache mambo machafu umrudie YESU
 
Hivyo sisi wakristo tutamwambia huyo anayewapa pumzi.Jinsi mnavyohangaika kukwamisha injili.Makanisa Yetu mengi yanachomwa moto huwa tunasamehe.wameona bado tunasonga mbele,wameamua kujificha kwenye noise polluton.Kelele wanafanya walevi baa na madisko yakipuuzi kila kona.Tunaye anayeweza kushughulika na watu wa jinsi hii.
Ndugu hii vita ni ya BWANA,.....sisi huwa hatulipizi mabaya,wanatuita wakulialia,.yes tunapiga goti na kumuachia BWANA avipigane vita hivi
 
Shida ni kelele sheria zifuatwe bar pamoja ,na makanisa usiku wasipige kelele au waweke sound proof ...tatizo sio kuabudu abuduni ila msiwe kero kwa wasio waumini wenu hiyo ni rahis
kusikia injili ni kero?clubs., mbona hajazungumzia????
 
kwani apa nimetaja bure jina la Mungu?nakuelimisha mkuu usiwe na moyo wa kumkataa Mungu na Maandiko yake.hii dunia inapita mkuu,mrudie Mungu uache mambo machafu umrudie YESU
Acha kunihukumu ,nimrudie Mungu yupi tena huyo ambaye hasikiii mpaka umuombe ukiwa na spika kubwa na ucheze kiduku..... Mungu wangu yuko hapa namuomba mda wote na ananisikia ..........huyo wa kwenu Mpaka muongee sauti ikauke ....nakumbuka kule Getsemani yesu alipokaribia kuteswa alienda faragha kusali ......mara zote ninafanya kama yesu ,sio kwenda kupiga makelele kama mafarisayo..
 
kuna post jamaa kakuuliza kuhusu wakina petro kuhusu siku ya pentekoste,.wasingesali kwa sauti huku wakinena je wamataifa wangejuaje kuwa wapo wanasali?naona umejikanyaga tu
 
Acha kunihukumu ,nimrudie Mungu yupi tena huyo ambaye hasikiii mpaka umuombe ukiwa na spika kubwa na ucheze kiduku..... Mungu wangu yuko hapa namuomba mda wote na ananisikia ..........huyo wa kwenu Mpaka muongee sauti ikauke ....nakumbuka kule Getsemani yesu alipokaribia kuteswa alienda faragha kusali ......mara zote ninafanya kama yesu ,sio kwenda kupiga makelele kama mafarisayo..
we unaongea vitu usivyovijua kaka,nimekuhukumu wapi??????
 
Mtupigie kelele kama walevi na wehu mkiambiwa kistarabu mrekebishe wehu wenu mnaanza mkulal?
Ukiona mtu anaogopa maombi ya watu wanaoomba usiku ujue ni mchawi. Anashindwa kwenda kuwanga sababu ya maombi.
 
Tuache unafiki adhana ni dakika tano tu...kuna haya makanisa ni usiku mzima halafu mkesha unaanza sanne usiku mpaka saa kumi nambili asubuhi ni kelele mtindo mmoja ..halafu unakuta makanisa yapo sehem moja matatu ...yaani utachoka
Mkuu adhana wanairudia zaid ya mara 20. Wanaanza kuita na kutisha watu wakaswali kuanzi 10 kasoro alfajiri.
 
kusikia injili ni kero?clubs., mbona hajazungumzia????
Mkuu punguza kupaniki. Vuta pumzi, shush pumz. Mkuu kelele ni kelele tu, iwe za club, bar, za mpira, za kanisan, za mïsikitini . Toka nje ya box , kelele kwako unazoita nyimbo kwa mwngne kwake ni fujo .
 
Jamani misikiti nayo saa kumi na moja umechoka unasikia kelele....tena ukiwa nao jirani ni balaaa
 
Kampeni saa 12 mwisho.......tunacholalamikia sio mchana ni usiku ,,,umelala watu wapo jirani kabisa .....wanaimba na kulia usiku mzima no kulala
wengine wanakwambia swalaaaa swalaaa amkeni mje tusalii muda umeshafikaa.Nyambafu! kwani uliambiwa wote tunashida ya kuamka muda huo.hii ni kero kubwa sana
 
Kama jambo hili ni la Mungu ole wake ashindanae nae,hakuna alieshindana na Mungu akashinda,ataumia tu maana hamna namna nyingine
 
Back
Top Bottom