LIMESHINDWA KABURI ATAWEZA BINADAMU ANAYEOZA KABURINI?NAMPA POLE KUFANYA KAZI ILIYOMSHINDA shetani.Huko ni kumdhibiti YESU KRISTO.
LIMESHINDWA KABURI ATAWEZA BINADAMU ANAYEOZA KABURINI?NAMPA POLE KUFANYA KAZI ILIYOMSHINDA shetani.Huko ni kumdhibiti YESU KRISTO.
Wote watumbuliwe hakuna namna ,ila kher hao wa,asubuhi ni dakika tano tu ..ila wa kukesha na kulia usiku mzima na,ni kila kona....hadi keroWadhibiti na wale wanaotuamsha asubuhi kana kwamba waumini wao hawajui wajibu wao wa kwenda kuabudu!
na atokuwepo mpaka PARAPANDA ITAKAPOLIA.mnatokwa povu bure hakuna wa kuthubutu kuyafunga
Vp kile kipaza sauti cha msikiti cha saa kumi Usiku ? Kama Serikali hawataki sauti kwenye nyumba za ibada itabidi wazuie kwa Dini zote bila Ubaguzi wowote ule, pia bar na madsco yasiyo na sound proof nayo yapigwe marufuku kupiga miziki kwa sauti kubwa. Hili tunaliongea lakini Sidhani Kama Magufuli ataliweza milele.Tunaweza zuia haya ya watu wanaokesha wakiliombea taifa hili,tukaacha ya kwenye mabar na disco yaendelee kutupigia kelele Mungu atusaidie kutupa mwongozo juu ya hili
Nadhani kama zilivyo clubs na nyumba za ibada ziwekewe sound proofVp kile kipaza sauti cha msikiti cha saa kumi Usiku ? Kama Serikali hawataki sauti kwenye nyumba za ibada itabidi wazuie kwa Dini zote bila Ubaguzi wowote ule, pia bar na madsco yasiyo na sound proof nayo yapigwe marufuku kupiga miziki kwa sauti kubwa. Hili tunaliongea lakini Sidhani Kama Magufuli ataliweza milele.
mungu anapaswa kuombwa kimya kimya Kwa sauti ya unyenyekevu na upole ndani ya nyumba ya ibada si lazima wapita njia na majirani wasikie , Kama wanataka kuzuia hizo bugudha wazuie kila kona kuanzia bar disco , misikitini mpaka makanisani bila Ubaguzi .Labda ni bora wachangiaji wa mada hii wakaacha kutanguliza hisia za dini zao. Uamuzi wa RC Arusha ni kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA) na kanuni zake zilizotoka mwaka jana. Anayetaka kuhubiri mitaani anawajibika kuwa na sound-proof facility/ukumbi kusudi mahubiri yake (ya kiislam au kikristo) yasibughudhi watu wengine. Kwa kimombo NEMA inadhibiti sound polution!
kufa utakufa tu mkuu,hata uimbe mapambio mwaka mzima,hakuna haja ya kuhofia kitu ambacho lazima kitakupataSiku wakiitaka roho yako uwaambie tuheshimiane una mambo yako mengi
Ila wewe unahitaji msaada wa kisheria kudhibiti waomba MUNGU.UTASHINDWA TU.Kila jambo sharti lifanyike kwa kuzingatia utaratibu wake (sheria). Hata Sabato Masalia tuliona walipoishia licha ya kudau kumtumikia Mungu. Tuache ujinga, Tuabudu kwa nidhamu. Mungu hahitaji msaada wa binadamu.
Mkuu wakifanya hivyo watakuwa wangebalance pasipo Ubaguzi wowote kinyume na hapo zitaitwa ni chokochoko za Udini .Nadhani kama zilivyo clubs na nyumba za ibada ziwekewe sound proof
Kelele ni kelele tu haijalishi inapigwa kwa dakika ngapikumbe na kwenye udini upo mkuu?
Adhana ya dakika 3,ulinganishe na zile kelele za wanaokesha wakitolewapepokweli?
Ni sheria tu ziwekwe ,ukianzisha kanisa uzifuate ....kelele ni kero huku mtaani her hata bar saanne zinafungwa ila hilo litwalo disco la yesu yaani mpaka asubuhi ni tabu tupu...Mkuu wakifanya hivyo watakuwa wangebalance pasipo Ubaguzi wowote kinyume na hapo zitaitwa ni chokochoko za Udini .
Si uko bize mkuu uwaambie wasikutoe roho una mambo ya kufanya.kufa utakufa tu mkuu,hata uimbe mapambio mwaka mzima,hakuna haja ya kuhofia kitu ambacho lazima kitakupata
Huku nikujitoa ufaham......Mungu yupi ..kumvuka hata yesu aliwaamuru wanafunzi wake walipe kod kwa kaisari ....ni kutii sheria za ulimwengu ....Ila wewe unahitaji msaada wa kisheria kudhibiti waomba MUNGU.UTASHINDWA TU.
si kila sheria ya ulimwengu niya kuitii.utatii ata uovu nduguHuku nikujitoa ufaham......Mungu yupi ..kumvuka hata yesu aliwaamuru wanafunzi wake walipe kod kwa kaisari ....ni kutii sheria za ulimwengu ....
Bibli yenyewe inasema tiini mamlaka zilizo wekwa maana,mamlaka zote zatoka kwa Mungu....si kila sheria ya ulimwengu niya kuitii.utatii ata uovu ndugu