NEMC inatakiwa ifanyie kaz haya mambo la,sivyo iyltakuwa tabu ....badaeNI sawa ndio maana nikasema, it has to be handled with caution...
Kwa wakati wa mchana kama huu hakuna shida ,ila usiku jaman ni kero kubwa sanaaaHapa nimezungukwa na makanisa,mchana huu kuna watu wanaomba nawasikia,hii hainikeri wala kuninyima usingizi,watu wanaomba mungu wao,ni uhuru wao.
Nimepost hapo juu kuwa wasipokuwa waangalifu watazua ya kuzua kidini KWA SABABU TUNA WATU WENYE FIKRA HASI KAMA WEWE...
Siku za mwisho watu watalikataa neno
mkuu sijazungumzia kuhusu kunena kwa lugha...usitoke nje ya mada hilo ni swala lingine...Sikatai uvuvio wa Roho ila na mamiziki makubwa kipindi cha pentekoste yalikuwepo ...na watu kucheza kama wanacheza ndomboloo......na kulia ,,pili waliokuwa wananena zile lugha kipindi kile nitofauti na wa sasa maandiko yanasema kuwa kila mtuvaliongea lugha yake lakini walielewana....lakini usiku wa mkesha mtu ananena kwa lugha hakuna anaye elewa....
angalia picha yako(avatar)hiko ndicho kilichoujaza moyo wako,.......unakuta jengo la kanisa lina ukubwa kama chumba cha darasa la shule ya kata alafu wanafuka spika na kipaza sauti,
AVATAR yangu haina ubaya .......ni tafsiri yako mm sipingi neno la Mungu umesema ww.....na usinihukumu .. soma biblia ,ila mm nasema ukwel .....kumuomba Mungu si lazima uwekero kwa wenzakoangalia picha yako(avatar)hiko ndicho kilichoujaza moyo wako,.......
hapo ukisikia neno la MUNGU lazma likuchome,.na shetani alivyojaza moyo wako lazima upinge neno la MUNGU ili uwe huru na mambo ya ulimwengu,.maana hutaki kubadilika
mamiziki unayozungumzia ni yapi labda?????????Sikatai uvuvio wa Roho ila na mamiziki makubwa kipindi cha pentekoste yalikuwepo
Hakuna mtu aliye wakashifu watu wanaohubir injili ......ila namna ya kuihubiri kupiga mamuziki kwa sauti ya juu.....na kucheza kidugu na ndombolooo makanisani....ni kero kwawenzenu msio abudu nao....mkuu sijazungumzia kuhusu kunena kwa lugha...usitoke nje ya mada hilo ni swala lingine...
nilichojaribu kukwambia ni hiki,.
ukisoma ile habari utakuta kuwa watu wamataifa waliwakashifu akina petro kuwa wamelewa
na wakawakejeli kwa kila mtu namna yake.......
sasa kama akina petro walinena na watu wamataifa wakawakashifu,
swali je wangeabudu na kusali kimyakimya na kunena kimyakimya kama madai yako,.je watu wale wa mataifa wangewakashifu???????
Mbona unaleta ushabiki waislam ni kina nan hapa na wakatoliki ....ukwel uwaz kuna kero kubwa sana na haya makelele ya kanisani...hasa usiku kikanisa chenywe kama choo...mziki mkubwa ,,,yaaan tabu tupu ..kuwen wasytarabuNaona hapa waislamu na wakatoliki wameungana kumpinga mlokole.Ok hivi intensity ya sauti kujua hii ni kelele na hii si kelele wamewekewa walokole tuuu?Hivi zile swalaa swalaaa si kelele? Na magari je? Madege makubwa nayo? Nafikiri huyo RC anaupungufu wakuelewa.
ndugu ni wapi nimekuhukumu??????na usinihukumu
mkuu umepinga neno la Mungu,.....katika mathayo Yesu anasema na neno la ufalme wa MUNGU litahubiriwa duniani kote nahapo ndipo ule mwisho utakapokuja,........ni tafsiri yako mm sipingi neno la Mungu umesema ww.....na usinihukumu .. soma biblia ,ila mm nasema ukwel