Petronfrancis
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 329
- 130
Wengine wanaleta kero mitaani na siyo ibada
wasikutoe roho kina nani sasa?.Si uko bize mkuu uwaambie wasikutoe roho una mambo ya kufanya.
Nakumbuka niliwahi kuleta mada kuhusu nyumba za ibada kufungu vipaza sauti na kusababisha kero kwa wakazi wanaoishi jirani na nyumba hizo na wengi tulitaka vipaza sauti hivi vidhibitiwe kuondoa kero ya kelele
Leo gazeti la Uhuru linaongozwa na habari inayosomeka: "Makanisa ya Kilokole kudhibitiwa mitaani",ni kwa kuimba wakati wa usiku.Hili ni tamko la Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Tunaishauri serikali zoezi hili liwe kwa nchi nzima na liisiishie kwenye Makanisa tu bali hata Misikiti ambayo nayo inayofunga vipaza sauti kwa nje na kusabisha kero ya kelele kwa wanaoishi jirani na Misikiti hiyo wakati wa ibada.
![]()
Mkuu salary slip, usiniambie leo unaliamini na hata limekuvutia hili gazeti la uhuruNakumbuka niliwahi kuleta mada kuhusu nyumba za ibada kufungu vipaza sauti na kusababisha kero kwa wakazi wanaoishi jirani na nyumba hizo na wengi tulitaka vipaza sauti hivi vidhibitiwe kuondoa kero ya kelele
Leo gazeti la Uhuru linaongozwa na habari inayosomeka: "Makanisa ya Kilokole kudhibitiwa mitaani",ni kwa kuimba wakati wa usiku.Hili ni tamko la Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Tunaishauri serikali zoezi hili liwe kwa nchi nzima na liisiishie kwenye Makanisa tu bali hata Misikiti ambayo nayo inayofunga vipaza sauti kwa nje na kusabisha kero ya kelele kwa wanaoishi jirani na Misikiti hiyo wakati wa ibada.
![]()
Nasema yafungwe bar zinafungwa saanne usuiku makanisa mpaka asubuhi bado watu wanalia na kuimba watoti wetu hawawez kujisomea na wagonjwa wanashindwa kupumzika ,na makanisa mwisho wa mkesha iwe saanne usiku
Issue ni ustarabu wa kufanya ibada......kelele kila siku hadi asubuhi ,,kwani watu hawawez fanya kama bar...saanne mwisho ,,,,Hili suala liamuliwe kwa hekima,ukizuia watu wasipaze sauti kumuabudu Mungu wao huko ni kuingilia uhuru wa mtu kuabudu dini na imani aitakayo.Waende wapi kufanya ibada zao ambako hakuna watu wa kuona kero?
Kwel kabisa kuna mitaa utakuta karibu kila familia ina kanisa lake....wachche ambao hawana makanisa wao ni kusumbuliwa masaa yote...hii sheria ni muhim sana ,NEMC wasimamie kelele mwisho iwe saanne usiku ,iwe bar ,msikiti au kumbi za harusKero nyingine ni pale mtu anapoamua kuanzisha KANISA nyumbani kwake sehemu ambayo not designated for worshipping; hawa wapo wengi kwani kuanzisha makanisa imekuwa biashara na wamekuwa ni kero kubwa kwa majirani zao sehemu za makazi ya watu!! Kuna umuhimu wa kupiga marufuku kuanzisha sehemu za ibada kiholela.
Tatizo kuna watu wanadhani wao wanahaki kuliko wengine ....ingekuwa ni issue ya kufungia bar kabisa ....kila mtu angeipa sapoti ...ila et kwasababu ni kanisa bas liachwe ....kumbukeni kuna watu hawana dini ,wengine ni mabudha.....tuvumiliane serekali haina dini sali ndani bila keleleHuyo mkuu ana point..Tatizo watu wameshaingiza udini kwenye hili..Kikubwa ni imani..Hata ukiomba kwa kunong'oneza Maombi yako yanasikika..Sio lazima kushout
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa sisi waislam ipo clear kabisa kwenye Quran, tunaambiwa mnaosimama kwa ajili ya sala msisali kwa sauti ya juu bali msali kwa sauti ya katikati, hii inamaanisha sauti ya kawaida ambayo kama ni shekh anaongoza ibada niwaumini tu wa ndani ndio wanaopaswa kusikia. Lakini watu wameacha mafundisho wa Quran wanafata tu hisia na mkumbo.mungu anapaswa kuombwa kimya kimya Kwa sauti ya unyenyekevu na upole ndani ya nyumba ya ibada si lazima wapita njia na majirani wasikie , Kama wanataka kuzuia hizo bugudha wazuie kila kona kuanzia bar disco , misikitini mpaka makanisani bila Ubaguzi .
Bora wadhibitiwe maana inaleta shida kwa tusiokuwa wafuasi wa Kilokole.Nakumbuka niliwahi kuleta mada kuhusu nyumba za ibada kufungu vipaza sauti na kusababisha kero kwa wakazi wanaoishi jirani na nyumba hizo na wengi tulitaka vipaza sauti hivi vidhibitiwe kuondoa kero ya kelele