vCTRMA
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 306
- 102
kupingana na neno la MUNGU ni kumpinga YESU na kanisa lake......na je wewe ni wa kwanza??????Mbona unaleta ushabiki waislam ni kina nan hapa na wakatoliki ....ukwel uwaz kuna kero kubwa sana na haya makelele ya kanisani...hasa usiku kikanisa chenywe kama choo...mziki mkubwa ,,,yaaan tabu tupu ..kuwen wasytarabu
sauli alikuwa anawaua wakristo,...baadae akaokoka
akina stephano pia,akina petro,paulo,yohana nk waliteseka kisa Jina la YESU,.....wewe ni nani hata uweze kumpinga KRISTO na neno lake.?