Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

usitafsiri biblia kinyume....unakuwa agent wa ibilisi bila kujielewa,...
tutii mamlaka kwa mambo ya kidunia,.huwezi kuniambia nitii mamlaka kwa kuabudu sanamu ndugu.hiyo haipo
siwezi kutii mamlaka kwakwa kunipangia muda wa kumtafuta Mungu wangu na kuongea nae...
siwez kutii mamlaka eti unicontrol nisimsifu MUNGU na nikimsifu Mungu niwe controlled na sheria....
kamwe haitotokea...nitamsifu MUNGU na neno la MUNGU litahubiliwa na mtasikia tu neno lake mtake msitake....
ni bora kufungwa/kufa nikililitetea na kulipigania jina la BWANA YESU
Hapo ndo nakuona sio great thinker.....ww unaona nimetafsiri vibaya .....ila ww una macho ya kibinadam ....kuabud kwa makelele kunatoka wap .....huyo Mungu yupi unaye mwabudu ambaye hasikii mpaka upige kelele usiku mzima ..... wanamuabudu Mungu kwa roho na kwel sio wapiga makelele Mungu hupenda watu wanynyekevu na sio mafarisayo wanaotaka waonekane wanakaa pembezoni mwa barabara ili waonekane wanasali....
 
hivi bongo kuna sheria za noise polution(sjui neno lake la kiswahili).
 
Mtawala yoyote duniani anaeanzaga kupambana na imani za watu huwa anashindwa vibaya sana! Hivi ili uonekane unafanya kazi lzm uanze kushughulika na walokole au waislamu!!??? Misikiti au makanisa???? Hivi ni vyombo vyenye utawala wake watu hawajui tu! Huu ni utamaduni wetu na hauwazuii watu kuendelea na shughuli za uzalishaji eti kwasababu ya kelele za usiku! Kisa nini kutetea usingizi au?? Kwa vi nchi vidogo kama cha kwetu ndio tunabaki kujadili vihoja vinyonge kama hivi!!! Mambo ya dini haya tuwaachie wazungu ndio wanatorelance na ustaarabu wa kuvumiliana sisi haya hatuyawezi! Jirani akila dagaa tu kero kwa jirani yake sembuse kelele za makanisa hii itakuwa chokochoko kubwa!!!tuiacheeeee!
Kwa maana hiyo hata bar ziruhusiwe kufanya kaz mpaka asubuhi ?? Mm nadhani tuwe na sheria walio waletea dini huku Africa mbona wanasheria kule kwao ukitaka kuabudu ulaya ruhusa ila usimsumbue jirani.....abudu bila kuwa kero kwa mwenzako
 
unataka kusema hata siku za kampen watumie sound proof nafikiria tu........kwel NEMA
Kampeni saa 12 mwisho.......tunacholalamikia sio mchana ni usiku ,,,umelala watu wapo jirani kabisa .....wanaimba na kulia usiku mzima no kulala
 
ww unaona nimetafsiri vibaya
your wrong,...huwez kuniambia nitii mamlaka niache kuabudu.......
Hapo ndo nakuona sio great thinker
yaani hata ukinitusi its ok.....sio mara ya kwanza...ni kutetea imani yangu ya kumfata YESU
.kuabud kwa makelele kunatoka wap .....huyo Mungu yupi unaye mwabudu ambaye hasikii mpaka upige kelele usiku mzima
hatuabudu kwa kelele sisi......unajua maana ya kelele??????
kelele ni maneno ya hovyo yanayosemwa kwasauti yajuu yasio na maana
kanisani tukiabudu tunafanya vitu vya maana na kunena vitu vya maana jua hivyo.......
wanamuabudu Mungu kwa roho na kwel sio wapiga makelele Mungu hupenda watu wanynyekevu
nahisi hujajua unazungumzia nini,...sio wewe umekalilishwa dini hujielewi na hujui nini maana ya kuabudu ktk roho na kweli,....
mafarisayo wanaotaka waonekane wanakaa pembezoni mwa barabara
hivi tunaabudu na kusali pembezoni mwa bara bara?
sishangai
mathayo 10;22
nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wotekwa ajili ya jina langu,lakini mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka....
endeleeni kupinga walokole tu...ila we know what we are doing
kejeli zilikuwepo na zitakuwepo sana zaid ya hizo ila neno litahubiliwa ulimwenguni kote,.na ukweli mtaujua.,japo mmekulia na kumezeshwa dini msizoelewa chimbuko lake ninini........
 
Kampeni saa 12 mwisho.......tunacholalamikia sio mchana ni usiku ,,,umelala watu wapo jirani kabisa .....wanaimba na kulia usiku mzima no kulala
sasa wewe maoni yako ninini.........
hutaki tukeshe???
hutaki tusali?????
hutaki tulie??????
hautaki makanisaaa?????????????
ebu jibu mkuu uache na jazba maana inaonyesha unapata tabu sana na waliookoka????
 
Nyie ndo manatakiwa mfungwe kabisa...kwasababu mnavunja sheria za nchi....uhuru wa kuabudu upo ila usipo kuwa na mipaka utaleta ukichaa...hiv ndugu waislam na wao wakiamua wapige kelele usiku mzima .....bila kulala kila dini ikifanya hivyo tutaishi kwel kumbuka .....noise pollution ina effect gan kwa mwanadam watu waabudu ila sio kwa namna ya kuwa kero
ok sawa.,...its ok wsiwez kuwekewa mipaka ktk kumuabudu MUNGU wangu.....kwani kufungwa ntakuwa wakwanza mimi????
hebu jibu swali langu post#111
 
your wrong,...huwez kuniambia nitii mamlaka niache kuabudu.......

yaani hata ukinitusi its ok.....sio mara ya kwanza...ni kutetea imani yangu ya kumfata YESU

hatuabudu kwa kelele sisi......unajua maana ya kelele??????
kelele ni maneno ya hovyo yanayosemwa kwasauti yajuu yasio na maana
kanisani tukiabudu tunafanya vitu vya maana na kunena vitu vya maana jua hivyo.......

nahisi hujajua unazungumzia nini,...sio wewe umekalilishwa dini hujielewi na hujui nini maana ya kuabudu ktk roho na kweli,....

hivi tunaabudu na kusali pembezoni mwa bara bara?
sishangai
mathayo 10;22
nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wotekwa ajili ya jina langu,lakini mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka....
endeleeni kupinga walokole tu...ila we know what we are doing
kejeli zilikuwepo na zitakuwepo sana zaid ya hizo ila neno litahubiliwa ulimwenguni kote,.na ukweli mtaujua.,japo mmekulia na kumezeshwa dini msizoelewa chimbuko lake ninini........
Narudia kusema Mungu ambaye hasikii sauti ndogo sio Mungu..........pata hiyo.....MUNGU wa kwel hujua hata mawazo yako......ni unafiki uliopitiliza kuweka miziki mikubwa na kuongea kwa sauti kubwa usiku wakati kuna wagonjwa na watoto wanatakiwa kulala na kupumzika .....Yesu kipindi chake hakuweka miziki mikubwa na kupigia watu kelele ...Tabia za kujiwekeea miziki mikubwa zililikuwa za mafarisayo
 
Magufuli please be carefull linapokuja swala la imani za watu, angalia namna wasaidizi wako wanavyolihandle hili swala linaweza kuleta mambo tusiyoyatarajia kabisa, issue za imani ni very sensitive...
 
Nazungumza na nyie wapigakelele ...na Mungu wenu ambaye sijui bila vipaza sauti na miziki hasikii....
 
mm kiukwel wanani bore sana sana
mkuu hata kama unaboreka its ok
kwanini walimuua Yesu???????
ni kutokana na njia zake na wale aliokuwa akiwahubiri neno walikereka kma wewe.......
ili andiko litimie hapakuwa na namna ilibidi auliwe2 na MUNGU aliruhusu itokee
kukereka kwa makanisa yetu sio wewe.......tangu enzi na enzi
stephano walimpiga mawe,petro alifungwa gerezani,yohana walimtia ktk pipa la mafuta nk
sembuse mimi eti kwenda jela.......am ready kwa ajili ya YESU
 
Nakumbuka niliwahi kuleta mada kuhusu nyumba za ibada kufungu vipaza sauti na kusababisha kero kwa wakazi wanaoishi jirani na nyumba hizo na wengi tulitaka vipaza sauti hivi vidhibitiwe kuondoa kero ya kelele

Leo gazeti la Uhuru linaongozwa na habari inayosomeka: "Makanisa ya Kilokole kudhibitiwa mitaani",ni kwa kuimba wakati wa usiku.Hili ni tamko la Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Tunaishauri serikali zoezi hili liwe kwa nchi nzima na liisiishie kwenye Makanisa tu bali hata Misikiti ambayo nayo inayofunga vipaza sauti kwa nje na kusabisha kero ya kelele kwa wanaoishi jirani na Misikiti hiyo wakati wa ibada.

20160408_043802.jpg
Lipo kanisa moja pale Dodoma la AGT mita chache kama unaelekea sokoni kutoka Hospitali ya Rufaa wenyewe wanaita General Hospital. Sijui ilikuwaje mpaka wakalipata lile eneo na inavyoonyesha kwa macho tu lile eneo ni la hospitali. Ila kuna kaujanjaujanja kanafumbiwa macho na wakubwa wa Hospitali au mamlaka za ardhi kwa maana ya CDA.
Kuna wakati nilikuwa Dom nikabahatika kupata nyumba ya wageni karibu kabisa na hilo kanisa. Kwa kweli mimi mzima ilikuwa karaha ya aina yake sasa wale wagonjwa pale hospitali sijui wanakuwaga kwenye hali gani. Hivi sijui ni kufumbwa macho au hata haijulikani wenye mamlaka waliruhusu lile kanisa kuwepo pale.
Au liliwekwa pale ili kuwaombea wagonjwa wapate ahueni? Lakini kwa yale maombezi ya kelele namna ile mgojwa hapati nafuu bali ni kumpunguzia muda wa kupumzika na kumuungezea maumivu. Tunajua umuhimu wa makanisa lakini uwepo walile kanisa kwenye lile eneo unatia shaka sana.
 
Narudia kusema Mungu ambaye hasikii sauti ndogo sio Mungu..........pata hiyo.....MUNGU wa kwel hujua hata mawazo yako......ni unafiki uliopitiliza kuweka miziki mikubwa na kuongea kwa sauti kubwa usiku wakati kuna wagonjwa na watoto wanatakiwa kulala na kupumzika .....Yesu kipindi chake hakuweka miziki mikubwa na kupigia watu kelele ...Tabia za kujiwekeea miziki mikubwa zililikuwa za mafarisayo
Natumai wewe ni mkristo????sio????
ukisoma biblia siku ya pentekoste ilikuwaje??????
hadi watu wakaanza kuwakejeli wakina petro kuwa wamelewa/hawajielewi wanaabudu nini........ushawahi kusoma hii habari?????
akina petro wangenenena kwa lugha kimyakimya watu wangejuaje kuwa hawa wanaabudu na wangewakejeli vipi???????
it means walikuwa wanaabudu kwa faragha wakiwa wapo huru......sio eti kuabudu kimya kimya hata sauti hutoi ndo solution na useme na MUNGU.......Mungu ni wa utaratibu na njia zake ni tofauti na wewe uwazavyo
umenielewa mkuu???????
najua we ni mkristo uliyekalilishwa mapokeo......
njoo na hoja mkuu nikueleweshe
 
Nazungumza na nyie wapigakelele ...na Mungu wenu ambaye sijui bila vipaza sauti na miziki hasikii....
mkuu soma post yangu#119
then njoo tena na hoja yako ya kupinga kanisa la kweli.
 
Natumai wewe ni mkristo????sio????
ukisoma biblia siku ya pentekoste ilikuwaje??????
hadi watu wakaanza kuwakejeli wakina petro kuwa wamelewa/hawajielewi wanaabudu nini........ushawahi kusoma hii habari?????
akina petro wangenenena kwa lugha kimyakimya watu wangejuaje kuwa hawa wanaabudu na wangewakejeli vipi???????
it means walikuwa wanaabudu kwa faragha wakiwa wapo huru......sio eti kuabudu kimya kimya hata sauti hutoi ndo solution na useme na MUNGU.......Mungu ni wa utaratibu na njia zake ni tofauti na wewe uwazavyo
umenielewa mkuu???????
najua we ni mkristo uliyekalilishwa mapokeo......
njoo na hoja mkuu nikueleweshe
Sikatai uvuvio wa Roho ila na mamiziki makubwa kipindi cha pentekoste yalikuwepo ...na watu kucheza kama wanacheza ndomboloo......na kulia ,,pili waliokuwa wananena zile lugha kipindi kile nitofauti na wa sasa maandiko yanasema kuwa kila mtuvaliongea lugha yake lakini walielewana....lakini usiku wa mkesha mtu ananena kwa lugha hakuna anaye elewa....
 
Yatapelekwa wapi haya makanisa ambapo hakuna watu wenye kuona kero?
 
Magufuli please be carefull linapokuja swala la imani za watu, angalia namna wasaidizi wako wanavyolihandle hili swala linaweza kuleta mambo tusiyoyatarajia kabisa, issue za imani ni very sensitive...
Ni sensitive ila wasivunje sheria ...kuna watu tunaumia au makanisa yajengwe mbali na maeneo ya makazi....
 
Ni sensitive ila wasivunje sheria ...kuna watu tunaumia au makanisa yajengwe mbali na maeneo ya makazi....
NI sawa ndio maana nikasema, it has to be handled with caution...
 
Back
Top Bottom