Chuma2
Senior Member
- Jun 18, 2014
- 159
- 64
mnatokwa povu bure hakuna wa kuthubutu kuyafungaNasema yafungwe bar zinafungwa saanne usuiku makanisa mpaka asubuhi bado watu wanalia na kuimba watoti wetu hawawez kujisomea na wagonjwa wanashindwa kupumzika ,na makanisa mwisho wa mkesha iwe saanne usiku