Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,961
- 42,166
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe
Jana nikiwa nasikiliza habari za kimataifa, nilimsikia makamu wa rais wa TANZANIA mheshimiwa Philipo mpango akihojiwa kutoka Vatican na kudai kuwa kuwa mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA
Na huo ndo ukweli halisi
Abalikiwe sana mtumish wa MUNGU Philipo mpango kwa kulitambua hilo na kuliweka wazi
Amefufuka tuimbe aleluya
Amefufuka kweli kweli
SAYUNI BOY