emmanueli nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

    Wakuu kama mnavyoona picha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi akisalimiana Na Papa ndani ya Vatican City

    Ndugu Watanzania, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi. Amekutana Na kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Katoliki Duniani Papa Leo ndani ya Viwanja Vya Vatikani City . Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Makamu wa Rais Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akikagua Ujenzi wa Ofisi Hii Leo. Mashakunoko na Wapashikuna Aibu yenu ibebeni sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa wale washakunaku,wambeya ,wazushi ,mapashikuna Bebeni sasa Aibu hii bila kujificha. Mnapenda sana uongo na uzushi hasa Ma CHADEMA. Wanapenda sana kuzusha uongo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 29 Januari...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt Emmanueli Nchimbi kumwakilisha Rais Samia mkutano wa dharura wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC. Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Back
Top Bottom