Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 259
- 199
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la Maziwa Makuu, uliyofanyika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda tarehe 21 Desemba 2025.