dkt. nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Tumemfukuza Uanachama Dkt. Nchimbi kwa sababu ya kiburi chake na kutoheshimu misingi ya Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida ameeleza kwa undani sababu ambazo anasema zilipelekea Chama hicho kumfuta Uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CCM kumfuta Dkt. Nchimbi uanachama: Je, anakoma moja kwa moja kuwa Makamu wa Rais?

    Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  6. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi: Uhamiaji tumieni busara bila kuvunja Sheria

    Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi awasili Mtwara

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani Lindi, leo tarehe 18 Machi 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais, Dkt. Nchimbi: Vijana wengi hawajui umuhimu wa Muungano

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi hawajui historia na umuhimu wa muungano. Dkt. Nchimbi ambaye alikuwa kwenye kikao kazi akizungumza na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nchimbi: Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu

    Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) Jijini Kinshasa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi amwakilisha Rais Samia Congo kwenye Mkutano wa wakuu wa Nchi-ICGLR

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika, jijini...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Majeshi yetu ni imara kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu

    Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake! ================== “Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi CCM ina uzoefu wa kuongoza nchi na vyama vingine vinaweza udiwani na ubunge

    Huyu Mzee naye, anavyotamba. Mbona mnawapiga pini wapizani wenu wakubwa kama nyinyi mnajiamia na mnauwezo wa kuongoza nchi? Tuone nafasi muone balaa lake ================ Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kina uzoefu wa kuongoza nchi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
Back
Top Bottom